Wadada tupunguze mizinga, inatudhalilisha sana

Wadada tupunguze mizinga, inatudhalilisha sana

Jamani Naz naomba uguse na wale wanaume wapiga mizinga

Oooh ni assist na laki 2 hornet kuna deal nafanya nakurudishia siku mbili hizi hizi

[emoji706][emoji706]
Hivi una guts za kutoa hata 50K kwa mwanaume kweli?
 
Tuliopiga mizing atunyooshe mikoni tasavali 😂😂😁😁😁✋✋✋✋✋✋✋✋✋✋✋✋✋✋✋✋✋✋✋✋✋!!😁😁

Jf sihamiiiiii 😁🤣😂🤣😂🤣!
Aione gonzare
 
Sio Vizinga tu, yani Mdada awe wa JF awe wa Kitaa ukimuomba tu namba (anajua unamtaka)

Ukimuita (anajua unamtaka) kumbe sazingine humtaki yeye unataka akusaidie mambo Flani maana ushawahi muona Mahali... (lenyewe linajua unalitaka)

Midada ya siku hizi ni ya hovyo na ndio mana Haiolewi,Haina Kazi.

Vizinga ndio kabisaaa, Halafu ubaya au uzuri wadada wa siku hizi AIBU hawana yani mishipa ya aibu ishajifia.

Halafu unafikiri ni wadada wasio na kazi ndio wenye hizi tabia za OMBA OMBA tu!?

Nikiita wadada nakosea hadi wake zetu nao pepo la omba omba limewakumba yani kukupa sababu ya kipumbavu ili tu umpe hela ni kawaida.

inshort am tired na hii jinsia "KE"
sana wanaomba balaa
 
Dear Ukisikiaaa yalaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ujue limempata hahaha! Sio kwa kichambo hikiiio😂😂😂😂!
sophy27 Mdogo wangu ushapita pandee hii!!
😂😂Ila mwanamke kuja kumuandikia Uzi mwanamke mwenzio ni ushamba ningeona busara kwakuwa anamfahamu angemfata tu akamuelekeza kumstiri kheri uyo dada kuliko wew na Hao wanaume wote wamsimulie yeye inatia shaka sana
 
Humu ukipiga kizingaa jua tyu lazima nawe utoeeeee papaaaa tena ukikaa vibaya utaliwa hadi matak mbona khakhakhaaaa!! Mahusiano Humu ni two way traffic banaaa ukipiga kizinga nawe wapigwa papaa😂😂😂😂

Aliyeniita kwenye uzi huu, kasaida sana jioni yangu iwe nzuri😅😂😂.

Kwamba

Money=Papa😅
 
Back
Top Bottom