Wadada tupunguze mizinga, inatudhalilisha sana

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wamewapumzisha watoto wa Amos Makala naona, sasa ni 'mudaaa weetu'...!🎧
Acha tuπŸ™†πŸΌβ€β™‚οΈπŸ™†πŸΌβ€β™‚οΈ
 
Jamani Naz naomba uguse na wale wanaume wapiga mizinga

Oooh ni assist na laki 2 hornet kuna deal nafanya nakurudishia siku mbili hizi hizi

[emoji706][emoji706]
Hivi una guts za kutoa hata 50K kwa mwanaume kweli?
 
Tuliopiga mizing atunyooshe mikoni tasavali πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜βœ‹βœ‹βœ‹βœ‹βœ‹βœ‹βœ‹βœ‹βœ‹βœ‹βœ‹βœ‹βœ‹βœ‹βœ‹βœ‹βœ‹βœ‹βœ‹βœ‹βœ‹!!😁😁

Jf sihamiiiiii πŸ˜πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£!
Aione gonzare
 
Dear Ukisikiaaa yalaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ujue limempata hahaha! Sio kwa kichambo hikiiioπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!
sophy27 Mdogo wangu ushapita pandee hii!!
Kwann anitaje Sasa kwani kosalangu kukaa Dodoma nae si ahamie tu tujue mojaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Kama chupiyngu imetoboka nisiombe😏
 
Sasa ndo mpige mizinga hivyo? Ila mbona karembo kangu hakako hivyo, au bado sijaingia kwenye system?πŸ˜…πŸ˜‚πŸ˜‚
Watu washaleta habari za 'ila kalikuwa katamu' mizinga wataachaje kupigwa..!?
Binti yako kafundwa akafundika thanks to you baba..!!
 
sana wanaomba balaa
 
Dear Ukisikiaaa yalaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ujue limempata hahaha! Sio kwa kichambo hikiiioπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!
sophy27 Mdogo wangu ushapita pandee hii!!
πŸ˜‚πŸ˜‚Ila mwanamke kuja kumuandikia Uzi mwanamke mwenzio ni ushamba ningeona busara kwakuwa anamfahamu angemfata tu akamuelekeza kumstiri kheri uyo dada kuliko wew na Hao wanaume wote wamsimulie yeye inatia shaka sana
 
Humu ukipiga kizingaa jua tyu lazima nawe utoeeeee papaaaa tena ukikaa vibaya utaliwa hadi matak mbona khakhakhaaaa!! Mahusiano Humu ni two way traffic banaaa ukipiga kizinga nawe wapigwa papaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Aliyeniita kwenye uzi huu, kasaida sana jioni yangu iwe nzuriπŸ˜…πŸ˜‚πŸ˜‚.

Kwamba

Money=PapaπŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…