Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
ππππ€£π€£π€£π€£ kila Mtu ashinde Mechi zake wasitupangieeeeee Kwani wao Mungu??? watuwache tujuselfii na sura zetu ivoivooooo πUsijali ndugu tujue tu adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie aisee nitakuita unibless japo tumeambiwa sura kama vibomporiππππkichambo kiendelee
Nitapita jioni nikupeleke tena kule duniani ila usinitukane sawa..??
Naona Makao Makuu tumepunguza dhambi tumepata kimvua pia walaqhi'...!!
HeheheππKama baba mwenyewe ndiyo yule wa 'koma', Mungu atanielewa..!!π
Ila G Mungu anakuona ujue π€£π€£π€£! Ule Uzi tumekukosea nini kha!!Kama barabara zipo tunafika uko
Kwanza mbinguni tutapewa mwili mpya na sura mpya why tuteseke hapa dunianiπππππππ€£π€£π€£π€£ kila Mtu ashinde Mechi zake wasitupangieeeeee Kwani wao Mungu??? watuwache tujuselfii na sura zetu ivoivooooo π
Labda huwa wanapiga vizinga ila mbususu hawatoi, hebu tujaribu kufikiria nje ya box kidogo.Ila huu Uzi uko biased Sana,kwani hao wanaume wanaendaga PM za wadada kuomba Nini? wanaume waache kuombaomba mbususu za wadada matokeo ndio hayo na wadada wanapiga vizinga... Halafu wanaanza kulalamika
Ndriiooooooo ndriiooooooo!!Iwe mwanamke au mwanaume, tabia ya kuomba omba hela kama huna mikono si nzuri.
Kwanza unajishusha hadhi yako, kijana una nguvu zako, kwanini umuombe mtu mwingine?
Umetongozwa unaanza mizinga!!! Kabla ya kukutongoza ulikuwa unaishije? akikupenda atakupa kama mpenzi wake, acheni umatonya.
Hii comment inafaa kwa matumizi ya baadaeπMbona kama wewe na huyo Dada wa Dodoma mnagombea bwana π€¨
Hao watu wa muhimu ndio wakoje Mkuu?????Suala la Vizinga kwa Ke wengi limechangiwa na Michezo yao ya Vikoba. Na Wakati mwingine kupenda kuishi maisha ya Show Off hata kama mtu ana kipato Cha Chini.
Ke anapiga Vizinga ili Lunch akale Ramada hotel Wakati uwezo wake ni kula Shishi Food.
Mizinga imekuwa Mingi hadi Wanaume tunapoteza nguvu za Kiume π’
Mnaweza kukuta mnapoteza watu wa muhimu kwenye maisha yenu kwa kuendekeza njaa isiyoisha ππ
Au ndio huyo alieandikiwa UziπBadilikeni. Baada ya mimi kutoa uzi wa kuzinguana na mke wangu, kuna dada alinifuata PM kwamba ananionea huruma sana kwa hali ninayopitia.
Tukazoeana zoeana baadae akasema ninamvutia kwa ile profile picture yangu ya WhatsApp kwa hiyo kama vipi niwe naye, nikaona poa tu, aisee
Demu anapiga mizinga kichizi. Halafu akiomba vocha, ukimtumia voda ya buku 2 anakutukana, eti mi unanionaje? Mimi vocha ya buku 2 ya nini.
Ndio watulie,maana wengine mkute hata wanatongoza wanaume wenzao,maana humu watu Ni Anonymous mnatongoza Avatar ukute mtu anajifanya mdada kumbe ana shughuli zake za utapeli......binafsi ukija kunitongoza PM nitakupigia tu mzinga utanikimbia mwenyeweLabda huwa wanapiga vizinga ila mbususu hawatoi, hebu tujaribu kufikiria nje ya box kidogo.
Cheka utanue mapafu dear!! Jf sitrokiiiii ππManake ncheke kwanza humu wanaume wapiga vizinga mbona wapo sio wanawake peke yao π¬π€£π€£π€£
Badilikeni. Baada ya mimi kutoa uzi wa kuzinguana na mke wangu, kuna dada alinifuata PM kwamba ananionea huruma sana kwa hali ninayopitia
ππππSiamini kama leo hutaki kutukanwa, ila nitajitahidi kwakua utakuwa ni mgeni wangu.
Mkiacha na uomba-omba uliosemwa na mleta mada, ukame utaisha kabisaπ.
π€£ π€£ π€£ Nichecki PM Mkuu. UsiwazeAcheni hizo basi tupeni hizo fweza.ninaweza kupata 50,000 hapo mkuu
Kuna yule muomba lunchManake ncheke kwanza humu Wanaume wapiga vizinga mbona wapo sio wanawake peke yao π¬π€£π€£π€£