Wadada tupunguze mizinga, inatudhalilisha sana

Wadada tupunguze mizinga, inatudhalilisha sana

Usijali ndugu tujue tu adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie aisee nitakuita unibless japo tumeambiwa sura kama vibompori😂😂😂😂kichambo kiendelee
😁😁😁🤣🤣🤣🤣 kila Mtu ashinde Mechi zake wasitupangieeeeee Kwani wao Mungu??? watuwache tujuselfii na sura zetu ivoivooooo 😁
 
Nitapita jioni nikupeleke tena kule duniani ila usinitukane sawa..??

Naona Makao Makuu tumepunguza dhambi tumepata kimvua pia walaqhi'...!!

Siamini kama leo hutaki kutukanwa, ila nitajitahidi kwakua utakuwa ni mgeni wangu.

Mkiacha na uomba-omba uliosemwa na mleta mada, ukame utaisha kabisa😄.
 
Ila huu Uzi uko biased Sana,kwani hao wanaume wanaendaga PM za wadada kuomba Nini? wanaume waache kuombaomba mbususu za wadada matokeo ndio hayo na wadada wanapiga vizinga... Halafu wanaanza kulalamika
Labda huwa wanapiga vizinga ila mbususu hawatoi, hebu tujaribu kufikiria nje ya box kidogo.
 
Iwe mwanamke au mwanaume, tabia ya kuomba omba hela kama huna mikono si nzuri.
Kwanza unajishusha hadhi yako, kijana una nguvu zako, kwanini umuombe mtu mwingine?
Umetongozwa unaanza mizinga!!! Kabla ya kukutongoza ulikuwa unaishije? akikupenda atakupa kama mpenzi wake, acheni umatonya.
Ndriiooooooo ndriiooooooo!!
Binafsi somo limeniingia na nimelielewaaaaa😘😘😘!👌👌👌
 
Suala la Vizinga kwa Ke wengi limechangiwa na Michezo yao ya Vikoba. Na Wakati mwingine kupenda kuishi maisha ya Show Off hata kama mtu ana kipato Cha Chini.

Ke anapiga Vizinga ili Lunch akale Ramada hotel Wakati uwezo wake ni kula Shishi Food.

Mizinga imekuwa Mingi hadi Wanaume tunapoteza nguvu za Kiume 😢

Mnaweza kukuta mnapoteza watu wa muhimu kwenye maisha yenu kwa kuendekeza njaa isiyoisha 🏃🏃
Hao watu wa muhimu ndio wakoje Mkuu?????
 
Badilikeni. Baada ya mimi kutoa uzi wa kuzinguana na mke wangu, kuna dada alinifuata PM kwamba ananionea huruma sana kwa hali ninayopitia.

Tukazoeana zoeana baadae akasema ninamvutia kwa ile profile picture yangu ya WhatsApp kwa hiyo kama vipi niwe naye, nikaona poa tu, aisee

Demu anapiga mizinga kichizi. Halafu akiomba vocha, ukimtumia voda ya buku 2 anakutukana, eti mi unanionaje? Mimi vocha ya buku 2 ya nini.
Au ndio huyo alieandikiwa Uzi😂
 
Labda huwa wanapiga vizinga ila mbususu hawatoi, hebu tujaribu kufikiria nje ya box kidogo.
Ndio watulie,maana wengine mkute hata wanatongoza wanaume wenzao,maana humu watu Ni Anonymous mnatongoza Avatar ukute mtu anajifanya mdada kumbe ana shughuli zake za utapeli......binafsi ukija kunitongoza PM nitakupigia tu mzinga utanikimbia mwenyewe
 
Badilikeni. Baada ya mimi kutoa uzi wa kuzinguana na mke wangu, kuna dada alinifuata PM kwamba ananionea huruma sana kwa hali ninayopitia

hee watu wako siriaz hivyo 🤣
 
Siamini kama leo hutaki kutukanwa, ila nitajitahidi kwakua utakuwa ni mgeni wangu.

Mkiacha na uomba-omba uliosemwa na mleta mada, ukame utaisha kabisa😄.
😂😂😂😂
Mwanamke akisema hapana anamaanisha ndiyo, sasa acha ujionee tofauti na Vodacom..!!

Haha..
Kama kipaji pekee tuko nacho ni kuomba je.? Jasiri haachi asili na akiacha asili hana akili..!!
 
Back
Top Bottom