ππΌββοΈππΌββοΈππΌββοΈππΌββοΈππΌββοΈππΌββοΈππΌββοΈππΌββοΈππΌββοΈππΌββοΈππΌββοΈππΌββοΈππΌββοΈππΌββοΈππΌββοΈππΌββοΈππΌββοΈππΌββοΈππΌββοΈππΌββοΈππΌββοΈππΌββοΈππΌββοΈππΌββοΈππΌββοΈππΌββοΈππΌββοΈππΌββοΈππΌββοΈNimekuogopaa weeeehhh! ππ
Pole kaka, sasa wanawake wote hao ni wa kwako mkuu umekuwa Mfalme Suleman [emoji23] (ni utani tu mkuu don't take it seriously)Yaani, umenena haswa.
Wanawake wamezidi.
Mizinga kwa wengine ndiyo sehemu ya maisha.
Huwezi kusema wanajiuza . lakini kwa mizinga hadi inakera.
Kabla ya Chrismas ilibidi nizime kabisa simu.
Mwanamke hata uliyewahi kumkonyeza analeta furushi la matatizo yake.
Mwingine anataka umlale hata kwa yeye bibie kukutongoza ili apate mahali pa kuomba.
Ukimtolea nje utaona tu anahmia kwa mwingine.
Jana tu nimepata ujumbe , mtoto ana birthday(si wangu)
Mwingine anomba hela ya kodi ya nyumba
Mwingine anaomba ada ya watoto(si wangu)
Mwingine ndo kaniudhi,kaandika "we mwanaume naomba hela nina shida"
Wanawake sijui watajikomboa lini!
Weeeeeeeeehhhhh Sio kwa sindano zile mwanzo wahuu uzi !! Nimekuogopaaππmrembo usikimbie Mimi mtu mzuri tuu
hapana binafsi napenda tobo ila sio kipaumbele kwenye maisha yangu.Wanajirahisi kwa warahisi wenzao! kama mwanaume una msimamo wako huwezi kubali kubali kila tobo linalojileta kwako Kwani wee shimo la taka bana!
Kwani huwa mnalazimishwa kutoa???! Ndio mtulie mkomege kuvamiavamiaahapana binafsi napenda tobo ila sio kipaumbele kwenye maisha yangu.
π€©π€©π€©sikujua kuwa nawewe upo kule mremboπtafazaliWeeeeeeeeehhhhh Sio kwa sindano zile mwanzo wahuu uzi !! Nimekuogopaa
Sina wote wapo na mashemeji zangu, kwa umri uo 37+ kuna mtu yupo single? Are u single?Dah..wanaume kama wewe mpo wachache sana.
Hivi hauna kaka au ndugu ambae yupo singo 37+ yes??maana ninaimani atakuwa na chembechembe za akili yako
Wengine tunavamiwa πKwani huwa mnalazimishwa kutoa???! Ndio mkomege kuvamiavamiaa
Usijareee hizi ni mambo za mitandaoni tu tukizima data kila mmoja anapamba na life lake alikoβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈπ€©π€©π€©sikujua kuwa nawewe upo kule mremboπtafazali
Polenii sana mtakua na vismartπ! Still u can reject her na asikuzongezongea wala kukuzoeaaa! Ukicheka na nyani lazima uvune mabuaaaWengine tunavamiwa π
yaa unaeleweka ππππUsijareee hizi ni mambo za mitandaoni tu tukizima data kila mmoja anapamba na life lake alikoβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈ
Kueleweka trenahhπ³π³π³πππππΌββοΈ! Nisamehe bure nimekosa mimiiiyaa unaeleweka ππππ
Sahihi Mkuu, na sio kwamba nafasi ya kuwasaidia hatuna, No isipokuwa vile Vizinga vya mara kwa mara ndiyo kero.Hili la kupoteza marafiki muhimu ni kweli kabisa maana kuna wakati unampa thamani kubwa mwanamke lakini kadri muda unavyozidi kwenda anaanza kupiga vizinga hadi ile thamani uliyompa unaanza kuiondoa na kumtoa kwenye list ya marafiki wazuri.
Mtu unaweza kumpangia mengi mazuri mbeleni lakini upigaji wa vizinga unasababisha kumpotezea mapema kabisa.
Unaweza reject 10/10? π¬ na mlivyojaaliwa, mashallah mashallah.Polenii sana mtakua na vismartπ! Still u can reject her na asikuzongezongea wala kukuzoeaaa! Ukicheka na nyani lazima uvune mabuaaa
ππππππ€£π€£π€£π€£! Bila shaka Mwenye masikio amesikiaaaaa na wa macho kaonaa mkuuu kiukweli sindano mlizituchoma kwenye huu uzi ππππππππππππ!!Sahihi Mkuu, na sio kwamba nafasi ya kuwasaidia hatuna, No isipokuwa vile Vizinga vya mara kwa mara ndiyo kero.
Na suala hili kadri linavyoendelea ndiyo nguvu za Kiume zinazidi kupungua.
Manake Mwanaume akuwa stressed muda wote na ukiangalia unakuta amezama hasa kwenye Huba
Ugentleman ndo huu sasa,kutoa zawadi kwa mwanamke wako hata kama unajua uwezo wa kujipatia mwenyewe anao.nampa kabla hajaniomba ataomba kwa ishu ambayo ni extra, mwanaume ni muhimu kuyajua na kuyatekeleza majukumu yako.
π€£π€£nimesema nakuelewa ulivyo andika.mbona unakuwa muoga muoga?πKueleweka trenahhπ³π³π³πππππΌββοΈ! Nisamehe bure nimekosa mimiii
Sawa tutapunguaza kama si kuacha kabisa ili kila mmoja apambane na hali yakee!!Unaweza reject 10/10? π¬ na mlivyojaaliwa, mashallah mashallah.
Na dhambi tumeumbiwa sisi.
Na kutuma na yakutolea tumeumbiwa sisi.
Kula kwa jasho nayo ni sisi π
Mpunguze tu taratibu ili dunia ipate balance.
Kwahio 10k ndio anajiona ghali au πNikamuuliza wewe ni wa kiasi gani? Eti nimpe 10,000/ siku mbili za mwanzo nilizo mpa buku 2 eti alikuwa ananisoma tu