Wadada tupunguze mizinga, inatudhalilisha sana

Wadada tupunguze mizinga, inatudhalilisha sana

😘😘mrembo usikimbie Mimi mtu mzuri tuu
πŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈNimekuogopaa weeeehhh! πŸ™ŒπŸ™Œ
 
Yaani, umenena haswa.
Wanawake wamezidi.
Mizinga kwa wengine ndiyo sehemu ya maisha.
Huwezi kusema wanajiuza . lakini kwa mizinga hadi inakera.
Kabla ya Chrismas ilibidi nizime kabisa simu.
Mwanamke hata uliyewahi kumkonyeza analeta furushi la matatizo yake.
Mwingine anataka umlale hata kwa yeye bibie kukutongoza ili apate mahali pa kuomba.
Ukimtolea nje utaona tu anahmia kwa mwingine.
Jana tu nimepata ujumbe , mtoto ana birthday(si wangu)
Mwingine anomba hela ya kodi ya nyumba
Mwingine anaomba ada ya watoto(si wangu)

Mwingine ndo kaniudhi,kaandika "we mwanaume naomba hela nina shida"

Wanawake sijui watajikomboa lini!
Pole kaka, sasa wanawake wote hao ni wa kwako mkuu umekuwa Mfalme Suleman [emoji23] (ni utani tu mkuu don't take it seriously)
 
Mleta huu Uzi nna wasiwasi nae kama kweli jinsia ya kike ama ya kiume, Kwan wanaoombwa hela si wapo huko PM, ulishaona wameanzisha Uzi wa kuombwa huko PM, jaman jaman ....acheni watu waombeeeeee wakipewa haya wakinyimwa haya, life kitaa ni gumu kinoma nomaa
 
Dah..wanaume kama wewe mpo wachache sana.

Hivi hauna kaka au ndugu ambae yupo singo 37+ yes??maana ninaimani atakuwa na chembechembe za akili yako
Sina wote wapo na mashemeji zangu, kwa umri uo 37+ kuna mtu yupo single? Are u single?
 
🀩🀩🀩sikujua kuwa nawewe upo kule mrembo😍tafazali
Usijareee hizi ni mambo za mitandaoni tu tukizima data kila mmoja anapamba na life lake aliko✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️
 
Usijareee hizi ni mambo za mitandaoni tu tukizima data kila mmoja anapamba na life lake aliko✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️
yaa unaeleweka 😘😘😘😘
 
yaa unaeleweka 😘😘😘😘
Kueleweka trenahhπŸ˜³πŸ˜³πŸ˜³πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸƒπŸΌβ€β™€οΈ! Nisamehe bure nimekosa mimiii
 
Hili la kupoteza marafiki muhimu ni kweli kabisa maana kuna wakati unampa thamani kubwa mwanamke lakini kadri muda unavyozidi kwenda anaanza kupiga vizinga hadi ile thamani uliyompa unaanza kuiondoa na kumtoa kwenye list ya marafiki wazuri.

Mtu unaweza kumpangia mengi mazuri mbeleni lakini upigaji wa vizinga unasababisha kumpotezea mapema kabisa.
Sahihi Mkuu, na sio kwamba nafasi ya kuwasaidia hatuna, No isipokuwa vile Vizinga vya mara kwa mara ndiyo kero.

Na suala hili kadri linavyoendelea ndiyo nguvu za Kiume zinazidi kupungua.

Manake Mwanaume anakuwa stressed muda wote na ukiangalia unakuta amezama hasa kwenye Huba
 
Polenii sana mtakua na vismart😎! Still u can reject her na asikuzongezongea wala kukuzoeaaa! Ukicheka na nyani lazima uvune mabuaaa
Unaweza reject 10/10? 😬 na mlivyojaaliwa, mashallah mashallah.
Na dhambi tumeumbiwa sisi.
Na kutuma na yakutolea tumeumbiwa sisi.
Kula kwa jasho nayo ni sisi πŸ˜„
Mpunguze tu taratibu ili dunia ipate balance.
 
Sahihi Mkuu, na sio kwamba nafasi ya kuwasaidia hatuna, No isipokuwa vile Vizinga vya mara kwa mara ndiyo kero.

Na suala hili kadri linavyoendelea ndiyo nguvu za Kiume zinazidi kupungua.

Manake Mwanaume akuwa stressed muda wote na ukiangalia unakuta amezama hasa kwenye Huba
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£! Bila shaka Mwenye masikio amesikiaaaaa na wa macho kaonaa mkuuu kiukweli sindano mlizituchoma kwenye huu uzi πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!!
 
Unaweza reject 10/10? 😬 na mlivyojaaliwa, mashallah mashallah.
Na dhambi tumeumbiwa sisi.
Na kutuma na yakutolea tumeumbiwa sisi.
Kula kwa jasho nayo ni sisi πŸ˜„
Mpunguze tu taratibu ili dunia ipate balance.
Sawa tutapunguaza kama si kuacha kabisa ili kila mmoja apambane na hali yakee!!
Asanteni kwa ujumbe japo unachomaaa sindano haioni ndani 🀣🀣🀣!
 
Back
Top Bottom