Wadada tupunguze mizinga, inatudhalilisha sana

Ni kweli kabisa.na Mungu hufungua milango mingi ya Baraka juu yako..tena hukulinda na hatari nyingi mpka inafika sehemu unajiuliza hivi hapa nilichomokaje jamani😁😁unakuja gundua ni huruma ya Mungu tu pekeeyako huwezi
Mimi nimeshawahi ku survive 4 deadly car crash accidents. Hadi nimegongwa na treni lakini sikuumia hata kidogo
 
Tafadhali mtafute ndugu yangu..fanyika kuwa daraja katika maisha Yake Kwa mara nyingine tena na Mungu atakubariki.

Goodmorning Bujibuji Simba Nyamaume
Muda si mrefu nimempigia kaka yake, nimeongea naye. Kaniambia pia anavuta bangi, nimemweleza kwamba tumpeleke rehab, kaniambia atamwita leo aongee naye
 
wewe dada wa lindi naomba niseme kuwa najitolea mifuko miwili ya cement kwa ajili ya ujenzi wa sanamu lako 😁😁😁..

aya wengine ni nani na atajitolea nini
 
Jf inafurahisha sana. Kijana akianzisha uzi kulalamika kupigwa mizinga atashambuliwa tafuta hela,mwanaume lazima umpe hela mwanamke blah blah blah. Wachache sana humu huwa tunakemea ombaomba. Ila leo kila mtu hapendi wapiga mizinga!
 
Muda si mrefu nimempigia kaka yake, nimeongea naye. Kaniambia pia anavuta bangi, nimemweleza kwamba tumpeleke rehab, kaniambia atamwita leo aongee naye
🤩 kumbe mawasiliano ya kumpata unayo 😍😍…Mungu ni mwema sana.

Maskini kama kaanza na bangi hivi Unga Uko mbali nae kweli🥺so sad.

Mtafute jamani🥹🥹
Huyo dada akirudi kwenye mstari ninaimani nitakuwa nimehusika Kwa namna moja ama nyingine katika kumsaidia.

Maisha n haya haya hatujui Kesho yetu ikoje.

Nitakuwa nakusumbua huku jf juu ya maendeleo ya huyo dada nakuomba usinichoke ndugu yangu
 
True, utakuwa umehusika parefu. Moyo wangu ulishaingia baridi juu yake na maisha yake. Nilikuwa nimemfuta kabisa, wewe ndio umemfufua
 
Yawezekana masononeko ya mama ndio yaliyomfikisha alipo sasa.msaidie jamani🥺
Watu huwa hawajui kwamba, maneno unayomuambia mtu kama ni ya uongo unapata laana kama huyo mtu atakunenea mabalaa.

Kuna binamu yangu alimpa msichana mimba huko upareni, akakataa ile mimba. Mama yake bint akamuambia, kama mimba ni yako hutakaa upate mtoto mwingine maishani mwako.

Na ikawa hivyo. Ndugu yangu amekufa na miaka 44 bila mtoto mwingine, hata huyo aliyemkataa hakumuona tena maishani mwake. Ndugu yangu huyo tena alikufa kifo cha fetheha mwaka juzi akiwa guest na mwanamke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…