Wadada tupunguze mizinga, inatudhalilisha sana

Ukweli ni kwamba;
1. Traffic wakiacha kuomba rushwa barabarani kuna magari hayatapita barabarani...madereva mnaelewa hili

2. Kadhalika madada wakiacha mizinga...malizieni wenye akili🤣🤣🤣

Vizinga vinawabeba baadhi ya wanaume hamjui tu
Mm sijaelewa
 
Ombaomba FC kuna wanawake wajinga hawajui kwa nini hawaolewi lakini sababu kubwa ni hii tabia,badilikeni
Ungekuwa na pesa wala usingeona kero kumpa mwanamke vocha. Kinachokusumbua ni umaskini wala sio mpenzi wako kuomba umsaidie. Tafuta hela uache kujiliza. Utakuwa hauna tofauti na binti.
 
Am not ya father,hata mimi pesa zangu zina matumizi,tafuta zako
 
Mwanaume anaejiweza anatoa bila gubu wala maneno ya kwenye kanga. Nyinyi makapuku ndio mnajiliza tena kwa kuombwa vocha tu na pesa ndogo ndogo kama za shopping. Watu kama nyie mnaishia kuwaona kwa mbali wanawake wazuri.
 
Pumbavuu sasa hapo mnauza k kwa bei ya rejareja ndoa mtazisikia redioni
 
Amina. Kwanini umeguswa sana na story ya huyo mdada?
Nimeguswa Kwa sababu katika safari yangu ya maisha nilikutana na msamaria akaninyanyua na kubadili historia ya maisha yangu kwa kiwango cha kuweza kumtukuza Mungu.

Naitambua thamani ya msaada Kwa mhitaji.

Ninaroho ya huruma sana buji hususani ninapoona mtu anapitia changamoto za maisha.

Nikiona naweza kumsaidia mtu basi ninafanya hivyo sio Kwa sababu yangu,,hapana ni Kwa sababu ya kusema Asante Kwa Mungu Kwa mema aliyonitendea,kumpa nafasi mhanga ya kuweza kuuona ukuu wa Mungu ndani ya mtu..lakini pia kumkopesha Mungu Kwa ajili ya watoto wangu.

Ninaimani kunakipindi katika hali ya kibinadamu nitashindwa kuombea vizazi vyangu..basi kila sadaka niliyomtolea Mungu Kwa kumgusa moja kwa moja hapo ndipo itakapoweza kuinuka.

Kwa ufupi sana Buji na ninaimani umenielewa.si ndio.
 
Nataka nikuhonge bila kunipiga mizinga nitumie PM namba yako 😆
Halafu Mimi hata sitangazi wala sianzishi uzi humu JF
Labda nikutumie namba ya wakala utoe anipe, lakini utume kwenye namba yangu halafi uwapigie mtandao husika umekosea urudishiwe,,,😂😂nitaambia nini watu?

Ila kambinu makini kakuombeamo namba haka nimekaelewa
 
Badilikeni. Baada ya mimi kutoa uzi wa kuzinguana na mke wangu, kuna dada alinifuata PM kwamba ananionea huruma sana kwa hali ninayopitia.

Tukazoeana zoeana baadae akasema ninamvutia kwa ile profile picture yangu ya WhatsApp kwa hiyo kama vipi niwe naye, nikaona poa tu, aisee

Demu anapiga mizinga kichizi. Halafu akiomba vocha, ukimtumia voda ya buku 2 anakutukana, eti mi unanionaje? Mimi vocha ya buku 2 ya nini.
Maniner huyo chuma ulete mtaje turuke nae, hao ndio majambazi sasa fanaalek

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Badilikeni. Baada ya mimi kutoa uzi wa kuzinguana na mke wangu, kuna dada alinifuata PM kwamba ananionea huruma sana kwa hali ninayopitia.

Tukazoeana zoeana baadae akasema ninamvutia kwa ile profile picture yangu ya WhatsApp kwa hiyo kama vipi niwe naye, nikaona poa tu, aisee

Demu anapiga mizinga kichizi. Halafu akiomba vocha, ukimtumia voda ya buku 2 anakutukana, eti mi unanionaje? Mimi vocha ya buku 2 ya nini.
Duuuh hii kareee
 
Nimeguswa Kwa sababu katika safari yangu ya maisha nilikutana na msamaria akaninyanyua na kubadili historia ya maisha yangu kwa kiwango cha kuweza kumtukuza Mungu.

Naitambua thamani ya msaada Kwa mhitaji.

Ninaroho ya huruma sana buji hususani ninapoona mtu anapitia changamoto za maisha.

Nikiona naweza kumsaidia mtu basi ninafanya hivyo sio Kwa sababu yangu,,hapana ni Kwa sababu ya kusema Asante Kwa Mungu Kwa mema aliyonitendea,kumpa nafasi mhanga ya kuweza kuuona ukuu wa Mungu ndani ya mtu..lakini pia kumkopesha Mungu Kwa ajili ya watoto wangu.

Ninaimani kunakipindi katika hali ya kibinadamu nitashindwa kuombea vizazi vyangu..basi kila sadaka niliyomtolea Mungu Kwa kumgusa moja kwa moja hapo ndipo itakapoweza kuinuka.

Kwa ufupi sana Buji na ninaimani umenielewa.si ndio.
Maneno adhimu
Maneno ghali
Maneno yenye upendo.
Maneno mazuri kutoka kwa mtu mzuri, nmesoma hii koment nmefika katikati nmejikuta nnatabasam heavy sana. Umewekeza upendo, be blessed Chakorii .
 
kuna mmoja aliniazima elfu 30 nkampaa aisee geto hataki kuja kazi kujiongelesha tu ooh sijui im honest to my boy sijui nyoko nyoko nkampotezea siku kama mbili hapo hata kumeet hataki kakasema labda tukutane m.city nkatoka nako nkakanunulia vitu kadhaa kama 70k hivi... aiseee tunarudi nkawambie akapajue nnapoishi aligoma kata kataaa kesho asubuhi naona msg et1 sorry nina shida ya 50k...mmkee kama nlijibuu sasa. 😀 😀
Hata Kama hukujibu tayari kakupiga laki
 
Back
Top Bottom