Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,101
- 11,381
Nishamjua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂Kumbe mnalalwa mnalalwa kwà sauti ya semaji la simba mmelowa mmelowa mnalalwa mnalalwa
Mm sijaelewaUkweli ni kwamba;
1. Traffic wakiacha kuomba rushwa barabarani kuna magari hayatapita barabarani...madereva mnaelewa hili
2. Kadhalika madada wakiacha mizinga...malizieni wenye akili🤣🤣🤣
Vizinga vinawabeba baadhi ya wanaume hamjui tu
Ungekuwa na pesa wala usingeona kero kumpa mwanamke vocha. Kinachokusumbua ni umaskini wala sio mpenzi wako kuomba umsaidie. Tafuta hela uache kujiliza. Utakuwa hauna tofauti na binti.Ombaomba FC kuna wanawake wajinga hawajui kwa nini hawaolewi lakini sababu kubwa ni hii tabia,badilikeni
Am not ya father,hata mimi pesa zangu zina matumizi,tafuta zakoUngekuwa na pesa wala usingeona kero kumpa mwanamke vocha. Kinachokusumbua ni umaskini wala sio mpenzi wako kuomba umsaidie. Tafuta hela uache kujiliza. Utakuwa hauna tofauti na binti.
Asante bujibuji.ubarikiweKaribu
Ndo hivyo😆😆Sawa bhana
Mwanaume anaejiweza anatoa bila gubu wala maneno ya kwenye kanga. Nyinyi makapuku ndio mnajiliza tena kwa kuombwa vocha tu na pesa ndogo ndogo kama za shopping. Watu kama nyie mnaishia kuwaona kwa mbali wanawake wazuri.Am not ya father,hata mimi pesa zangu zina matumizi,tafuta zako
Pumbavuu sasa hapo mnauza k kwa bei ya rejareja ndoa mtazisikia redioniMwanaume anaejiweza anatoa bila gubu wala maneno ya kwenye kanga. Nyinyi makapuku ndio mnajiliza tena kwa kuombwa vocha tu na pesa ndogo ndogo kama za shopping. Watu kama nyie mnaishia kuwaona kwa mbali wanawake wazuri.
Eti binti kiziwi Hata pesa ya vocha nishindwe kukupa kweli hapana kwa kweliUngekuwa na pesa wala usingeona kero kumpa mwanamke vocha. Kinachokusumbua ni umaskini wala sio mpenzi wako kuomba umsaidie. Tafuta hela uache kujiliza. Utakuwa hauna tofauti na binti.
Amina. Kwanini umeguswa sana na story ya huyo mdada?Asante bujibuji.ubarikiwe
Nimeguswa Kwa sababu katika safari yangu ya maisha nilikutana na msamaria akaninyanyua na kubadili historia ya maisha yangu kwa kiwango cha kuweza kumtukuza Mungu.Amina. Kwanini umeguswa sana na story ya huyo mdada?
Lakini usijenitangaza!Eti binti kiziwi Hata pesa ya vocha nishindwe kukupa kweli hapana kwa kweli
Labda nikutumie namba ya wakala utoe anipe, lakini utume kwenye namba yangu halafi uwapigie mtandao husika umekosea urudishiwe,,,😂😂nitaambia nini watu?Nataka nikuhonge bila kunipiga mizinga nitumie PM namba yako 😆
Halafu Mimi hata sitangazi wala sianzishi uzi humu JF
Maniner huyo chuma ulete mtaje turuke nae, hao ndio majambazi sasa fanaalekBadilikeni. Baada ya mimi kutoa uzi wa kuzinguana na mke wangu, kuna dada alinifuata PM kwamba ananionea huruma sana kwa hali ninayopitia.
Tukazoeana zoeana baadae akasema ninamvutia kwa ile profile picture yangu ya WhatsApp kwa hiyo kama vipi niwe naye, nikaona poa tu, aisee
Demu anapiga mizinga kichizi. Halafu akiomba vocha, ukimtumia voda ya buku 2 anakutukana, eti mi unanionaje? Mimi vocha ya buku 2 ya nini.
Duuuh hii kareeeBadilikeni. Baada ya mimi kutoa uzi wa kuzinguana na mke wangu, kuna dada alinifuata PM kwamba ananionea huruma sana kwa hali ninayopitia.
Tukazoeana zoeana baadae akasema ninamvutia kwa ile profile picture yangu ya WhatsApp kwa hiyo kama vipi niwe naye, nikaona poa tu, aisee
Demu anapiga mizinga kichizi. Halafu akiomba vocha, ukimtumia voda ya buku 2 anakutukana, eti mi unanionaje? Mimi vocha ya buku 2 ya nini.
Maneno adhimuNimeguswa Kwa sababu katika safari yangu ya maisha nilikutana na msamaria akaninyanyua na kubadili historia ya maisha yangu kwa kiwango cha kuweza kumtukuza Mungu.
Naitambua thamani ya msaada Kwa mhitaji.
Ninaroho ya huruma sana buji hususani ninapoona mtu anapitia changamoto za maisha.
Nikiona naweza kumsaidia mtu basi ninafanya hivyo sio Kwa sababu yangu,,hapana ni Kwa sababu ya kusema Asante Kwa Mungu Kwa mema aliyonitendea,kumpa nafasi mhanga ya kuweza kuuona ukuu wa Mungu ndani ya mtu..lakini pia kumkopesha Mungu Kwa ajili ya watoto wangu.
Ninaimani kunakipindi katika hali ya kibinadamu nitashindwa kuombea vizazi vyangu..basi kila sadaka niliyomtolea Mungu Kwa kumgusa moja kwa moja hapo ndipo itakapoweza kuinuka.
Kwa ufupi sana Buji na ninaimani umenielewa.si ndio.
Hata Kama hukujibu tayari kakupiga lakikuna mmoja aliniazima elfu 30 nkampaa aisee geto hataki kuja kazi kujiongelesha tu ooh sijui im honest to my boy sijui nyoko nyoko nkampotezea siku kama mbili hapo hata kumeet hataki kakasema labda tukutane m.city nkatoka nako nkakanunulia vitu kadhaa kama 70k hivi... aiseee tunarudi nkawambie akapajue nnapoishi aligoma kata kataaa kesho asubuhi naona msg et1 sorry nina shida ya 50k...mmkee kama nlijibuu sasa. 😀 😀