AIseeeeee.Badilikeni. Baada ya mimi kutoa uzi wa kuzinguana na mke wangu, kuna dada alinifuata PM kwamba ananionea huruma sana kwa hali ninayopitia.
Tukazoeana zoeana baadae akasema ninamvutia kwa ile profile picture yangu ya WhatsApp kwa hiyo kama vipi niwe naye, nikaona poa tu, aisee
Demu anapiga mizinga kichizi. Halafu akiomba vocha, ukimtumia voda ya buku 2 anakutukana, eti mi unanionaje? Mimi vocha ya buku 2 ya nini.
Mbona wengine hatupewagiiii [emoji52]
Akimtaja nitagMtaje jina
Nazan ndio nani?wanaolalamika nazan
Utani tu. Sija catch feelings [emoji12]Tunaunga mkono juhudi za mama yenu kwa kuombaomba[emoji23][emoji23]yani mlivyochukia mngejua siwezagi hiyo tabia mngejionea huruma hizo hasira
Kabisaaa dear, wanachofanya sio kabisaa.Kwahiyo mmeunda club ili kutudiscuss?. Sijapenda
Hatukatai mnatakiwa kuhudumiwaMwanamke anatakiwa kuudumiwa hao wanaolalamika nazan hawajui wajibu wao
Wakitaka vyabure mazan waoe wake zao ndo wawape vya bure au watafte malaya wa kununua bas
Utaki kuonga nunua malaya inatosha
TAtizo wakimwagana huko wanakuja frontSasa hivi ndio nimeiona huu ujumbe.
Aise kumbe mambo ni mengi huko piemuni ee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumekuchaaaaaaaah!!!!Kuna wengine humu ndio sehemu yao yakupatia bando,kula,kuvaa,na starehe nyingine nawana gongwa sana.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kuna washikaji humu wanahonga vocha hadharani ili wakitupia voko wasikataliwe wanawala Sana[emoji1787]Kuna washkaji wanna weka picha zamiburungutu ya hela wanawala sana. halafu Kuna washikaji wao hawajawahi kukoment kitucha maana Wala kuanzisha uzi kazi yao nikupoint demu wanae mtaka nakuchati nae kidogo halafu wanahamia pm hawa washkaji wamwisho wanawachamganya mademu wote kuna mademu marafiki wameliwa wote nahawa washkaji nawana honga balaa.kwahio shida sio hawa wanawake shida nihawa washkaji[emoji1787]halafu kuna washkaji wanajifanya wataalamu asili wamagonjwa nao wanatumia njia hio kuwala nawame Wala wengi kwasababu mademu wengi wanashida humu wanajalibu kwenda kupata tiba [emoji1787]washkaji wenyewe nimatapeli tuu hawana utaalamu wowote[emoji1787]
halafu mademu wanao ongoza kunasa kwa hawa washkaji wote ni walimu nawana vyuo[emoji1787]namanes kidogo.ila walimu ndio wameshika hatamu.
mwisho nimalize kwakusema...kila mtu afanye anacho weza bali Mimi Nina waona nawaangalia tuu. cc..........
sema wewe umekaa kibabe Sana🤣🤣 Hadi naogopa nianzejeUtajua hujui🤣 jaribu
Kwenye ule uzi...??Kuna wengine humu ndio sehemu yao yakupatia bando,kula,kuvaa,na starehe nyingine nawana gongwa sana.🤣🤣🤣kuna washikaji humu wanahonga vocha hadharani ili wakitupia voko wasikataliwe wanawala Sana🤣Kuna washkaji wanna weka picha zamiburungutu ya hela wanawala sana. halafu Kuna washikaji wao hawajawahi kukoment kitucha maana Wala kuanzisha uzi kazi yao nikupoint demu wanae mtaka nakuchati nae kidogo halafu wanahamia pm hawa washkaji wamwisho wanawachamganya mademu wote kuna mademu marafiki wameliwa wote nahawa washkaji nawana honga balaa.kwahio shida sio hawa wanawake shida nihawa washkaji🤣halafu kuna washkaji wanajifanya wataalamu asili wamagonjwa nao wanatumia njia hio kuwala nawame Wala wengi kwasababu mademu wengi wanashida humu wanajalibu kwenda kupata tiba 🤣washkaji wenyewe nimatapeli tuu hawana utaalamu wowote🤣
halafu mademu wanao ongoza kunasa kwa hawa washkaji wote ni walimu nawana vyuo🤣namanes kidogo.ila walimu ndio wameshika hatamu.
mwisho nimalize kwakusema...kila mtu afanye anacho weza bali Mimi Nina waona nawaangalia tuu. cc..........
🤣🤣🤣🤣mkuu Kama nawewe umeona Kama mimi sema emeeeeeeeeeeeeenKwenye ule uzi...??
😅😅
Ongeza sauti puliiiiiz.Unamtongoza mtt wa watu anakuomba pesa ww unaona ni kujizalilisha sasa ulitaka akamuombe nan
Wanaume mda wa kukaa na kulalamika ushapitwa na wakat huwezi kuonga au huwez kutoa pesa nazan itapendeza ukitafta malaya mkafanya yenu zen mkaachana
Ukitaka mtoto mzuri na utakae mcontrol lazma uhudumie na lazma uhonge
wee mchumba mbona nakupoteza Sana kwenye rada zangu🤣🤣🤣au nawewe unashinda pmni?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumekuchaaaaaaaah!!!!