Wadada tupunguze mizinga, inatudhalilisha sana

Wadada tupunguze mizinga, inatudhalilisha sana

Wadada left the chat[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na nyie wababa msiombe mbususu[emoji1787]

Ila kuna wenzetu aisee ni kama viwete mtu anaomba elfu tatu. Jamani af tatu kweli? Nlivojitolea kuwatetea ila hapana kwa hili namimi nakaa pembeni. Mdada anacheza michezo na hana kazi. Ikifika siku ya rejesho keshategesha vizinga kama tisa hivi kote anaomba af mbili mbili aibu naonaga mimi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
dear, dear, dear nimekuita mara 3!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Em achaaa hizo.
Cocaa Cocaa Cocaa Cocaaa nimekuita mara 4 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kama unapiga mizinga achaaaa, mpaka akupe mwenyewe. Mwenzako siombi hela ya mwanaume shauri zako. cocastic
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumekuchaaaaaa!!! Wadada wa mwanza wameachwa wapumue sasa. Lol

JF ni pori sio kichaka tena. Uwiiii

Kwa sasa tunadeal na kanda ya kati baada ya hapo tunaruka hadi songea, mbinga, maji maji, mbambabay hadi manda na ruanda ili waseme kisa cha kutokula ugali na mchicha ni nini hadi watake mberere na mbufu,
 
We kichwa jibu pm, au unaogopa vizinga? [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena ndo ningekua mie, wallah ningetajwwaa hapa wazi wazi.

Ila napenda kupiga mizinga, tatizo cna nyotaa ya kupewaaa.
Em nisaidiee mwayaa kusafishaaa nyotaaa. Afu wee ulipoteleaa wapi?
 
Cocaa Cocaa Cocaa Cocaaa nimekuita mara 4 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kama unapiga mizinga achaaaa, mpaka akupe mwenyewe. Mwenzako siombi hela ya mwanaume shauri zako. cocastic
Dear tatizo nyotaaaa, hatufanan [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nalimia kipande cha Nachingwea we unalimia wapi mama
Jana wana JF kadhaa wenye club yetu fulani hivi amazing tulikuwa tumekutana The Wine Coutry kwa ajili ya kuukaribisha mwaka mpya wa 2023.

Wanawake tulikuwa wawili tu, mimi na bidada mwingine na wanaume idadi yao ilikuwa kumi na kitu.

Jamani miongoni mwa mambo ambayo wanaume wanayaona ni kero ni swala la kupiga mizinga.

Wanawake tena mmetajwa kwa majina ambao mnashinda inbox mki zingalaizi. Mara mama anaumwa, mara dada kagongwa na bodaboda, mara nitumie hela ya kusuka nywele mara sina ada ya watoto.

Jamani kwa kweli mnahoyafanya huko PM aibu nimeona mimi. Ukitongozwa ndio usiseme. Hata kama una kazi ya ajira, tena mwajiriwa wa serikali, unaomba kuanzia vocha hadi hela ya chupi.

Wewe uko Dodoma mwanaume yuko Dar hajawahi hata kukulala zaidi ya kuonana mara moja na tena ulikuwa kwenye siku zako.

Nimekutaja wewe dada wa Dodoma sababu umekuwa na tabia ya kuwatongoza wanaume na baadae unaanza kuwa kero kwao na mizinga unayowapiga.

Jamani nawakaribisha Lindi tulime ufuta mbona kilimo poa tu, unapata hela ya kukukimu na huadhiriki.

2023 tubadilikeni jama
 
Kwa sasa tunadeal na kanda ya kati baada ya hapo tunaruka hadi songea, mbinga, maji maji, mbambabay hadi manda na ruanda ili waseme kisa cha kutokula ugali na mchicha ni nini hadi watake mberere na mbufu,
Hapooo songea hapo mtutoe, tushazoeaa shida siee, mlenda na ugali kwetuuu safiii sio shda zetu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom