Atakuwa mawardat tuu huyo. Mie kashakula hela zangu za kyupi na tako skonsi ata sijalishikaKumbe tunaishi na kajambazi ka kike kanataka Hadi chupi kanunuliwe na utamu hakatoi
Nani huyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakuwa mawardat tuu huyo. Mie kashakula hela zangu za kyupi na tako skonsi ata sijalishikaKumbe tunaishi na kajambazi ka kike kanataka Hadi chupi kanunuliwe na utamu hakatoi
Nani huyo?
Nakazia!Siungi tabia ya OmbaOmba inafedhehesha sana!
Ila nyie kikundi chenu ni wanafki tupu
Mnakutana kukaribisha mwaka kwa
kusema watu? yote mliojadili umeona hili ndio la muhimu kulileta huku?
Small mind discuss people!
Acheni maboya wapigwe hela Pm huko hakuna mbususu ya bure hata mimi nikitaka lazima nitoboke!
Hahah jamani si zama za usawa?Jamani Naz naomba uguse na wale wanaume wapiga mizinga
Oooh ni assist na laki 2 hornet kuna deal nafanya nakurudishia siku mbili hizi hizi
[emoji706][emoji706]
Yani we acha tu aiseMleta mada anataka kuwachafua watu wa Dodoma Sasa.
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Sc nawe ni wa Dodoma ndg yangu?Yani we acha tu aise
Ndyooooo babuuu sasa 2k ndo nn?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Demu anapiga mizinga kichizi. Halafu akiomba vocha, ukimtumia voda ya buku 2 anakutukana, eti mi unanionaje? Mimi vocha ya buku 2 ya nini.[emoji23]
Sjakuchukia hata! Ilikua ni reference tu na lile jina ulinipa!😂😂Mmh mbona umenichukia kiasi hiki ndg yangu?
Ya pm mimi siyajui.
Ninachojua ni ya jukwaani dadangu.
We kichwa jibu pm, au unaogopa vizinga? 😂😂😂Ndyooooo babuuu sasa 2k ndo nn?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
dear, dear, dear nimekuita mara 3!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Iwe mwanamke au mwanaume, tabia ya kuomba omba hela kama huna mikono si nzuri.
Kwanza unajishusha hadhi yako, kijana una nguvu zako, kwanini umuombe mtu mwingine?
Umetongozwa unaanza mizinga!!! Kabla ya kukutongoza ulikuwa unaishije? akikupenda atakupa kama mpenzi wake, acheni umatonya.
Aaah lile mpenda pesa?🤣🤣Sjakuchukia hata! Ilikua ni reference tu na lile jina ulinipa!😂😂
Kitu ambacho siwezi kusahau ni pesa au card ya bank.Chakorii kwenye hizo wine bars kubwakubwa huwa mnajilipia bills au mnalipiwa?
Hahah jamani si zama za usawa?
Mtupe na sisi jmn
Hii ndio kanuniKitu ambacho siwezi kusahau ni pesa au card ya bank.
Kama nimeamua kutumia natumia kiwango chochote nilichoamua,kama umenialika wewe kwakweli utalipia kila kitu nitamtip waiter,kama nimekualika mimi nitalipia
Sitokuomba pesa lakini nikiona hujiongezi hakika hutonifaa
Tena wewe ndo haswaa!haa haaa, mie mzee
Nijuacho mimi ni ngumu kula pesa ya mwanamke.Hapana, mizinga haifai kwa pande zote