Wadada tupunguze mizinga, inatudhalilisha sana

Wadada tupunguze mizinga, inatudhalilisha sana

Iwe mwanamke au mwanaume, tabia ya kuomba omba hela kama huna mikono si nzuri.
Kwanza unajishusha hadhi yako, kijana una nguvu zako, kwanini umuombe mtu mwingine?
Umetongozwa unaanza mizinga!!! Kabla ya kukutongoza ulikuwa unaishije? akikupenda atakupa kama mpenzi wake, acheni umatonya.
Mtoto mwenye brown eyes nakuona katika ubora wako.
 
Iwe mwanamke au mwanaume, tabia ya kuomba omba hela kama huna mikono si nzuri.
Kwanza unajishusha hadhi yako, kijana una nguvu zako, kwanini umuombe mtu mwingine?
Umetongozwa unaanza mizinga!!! Kabla ya kukutongoza ulikuwa unaishije? akikupenda atakupa kama mpenzi wake, acheni umatonya.
kuomba omba ni kujifedhehesha, ukishaona maisha yako hayaendi bila kuomba omba basi ujue ushafeli kwa asilimia kubwa sana, imagine mtu anaomba kwa watu 10 at once hata kama ni shida hapana, tabia ya hovyo mno.
 
Weeee….usiniambie

Yaani, umenena haswa.
Wanawake wamezidi.
Mizinga kwa wengine ndiyo sehemu ya maisha.
Huwezi kusema wanajiuza . lakini kwa mizinga hadi inakera.
Kabla ya Chrismas ilibidi nizime kabisa simu.
Mwanamke hata uliyewahi kumkonyeza analeta furushi la matatizo yake.
Mwingine anataka umlale hata kwa yeye bibie kukutongoza ili apate mahali pa kuomba.
Ukimtolea nje utaona tu anahmia kwa mwingine.
Jana tu nimepata ujumbe , mtoto ana birthday(si wangu)
Mwingine anomba hela ya kodi ya nyumba
Mwingine anaomba ada ya watoto(si wangu)

Mwingine ndo kaniudhi,kaandika "we mwanaume naomba hela nina shida"

Wanawake sijui watajikomboa lini!
Wamejikomboa ila kuna ujinga wengi wao bado wanao kuwa ni lazima waombe hela na ndicho wanachokifanya matokeo yake wanakuwa kero.
 
Back
Top Bottom