Wadada tupunguze mizinga, inatudhalilisha sana

Wadada tupunguze mizinga, inatudhalilisha sana

Siungi tabia ya OmbaOmba inafedhehesha sana!

Ila nyie kikundi chenu ni wanafki tupu
Mnakutana kukaribisha mwaka kwa
kusema watu? yote mliojadili umeona hili ndio la muhimu kulileta huku?

Small mind discuss people!

Acheni maboya wapigwe hela Pm huko hakuna mbususu ya bure hata mimi nikitaka lazima nitoboke!
Nakazia!
Watu wanafiki sana.
 
Iwe mwanamke au mwanaume, tabia ya kuomba omba hela kama huna mikono si nzuri.
Kwanza unajishusha hadhi yako, kijana una nguvu zako, kwanini umuombe mtu mwingine?
Umetongozwa unaanza mizinga!!! Kabla ya kukutongoza ulikuwa unaishije? akikupenda atakupa kama mpenzi wake, acheni umatonya.
dear, dear, dear nimekuita mara 3!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Em achaaa hizo.
 
Chakorii kwenye hizo wine bars kubwakubwa huwa mnajilipia bills au mnalipiwa?
Kitu ambacho siwezi kusahau ni pesa au card ya bank.

Kama nimeamua kutumia natumia kiwango chochote nilichoamua,kama umenialika wewe kwakweli utalipia kila kitu nitamtip waiter,kama nimekualika mimi nitalipia

Sitokuomba pesa lakini nikiona hujiongezi hakika hutonifaa
 
Hii ndio kanuni
 
Back
Top Bottom