Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,773
- 51,429
Watakuwa wamekusikia..Waache hiyo tabia ya kujirahisisha, shida zipo hatukatai ila kumlilia kila mtu shida ni ujinga.
Habari yako, hujambo?
Habari yangu ni nzuri.sijambo kabisa ni namshukuru Mungu.
Vipi mkuu wewe unampa wifi yetu pesa bila kuombwa,,au ni mpka aanze kutangaza njaa ndipo uumpe