Wadada tupunguze mizinga, inatudhalilisha sana

Wadada tupunguze mizinga, inatudhalilisha sana

Kuna kampuni nikiwa mgeni wakaniambia niingie vicoba, nikaishia kudhulumiwa. Vikoba nitacheza vya peke yangu
Bujibuji Simba Nyamaume mambo ya vikoba ni ya hovyo sana na wewe humu ni Lijendari nadhani miaka ya 2011 unakumbuka kulikuwa na mchakato wa kuanzisha Jamii Empowerment Saccos lakini kilichotokea ni kupotezeana muda na hela zilipotea kizembe sana japo zilirudi kidogo lakini ile mchakato imesababisha Members wengine kukimbia humu 😂😂😂😂
 
Nilijiweka kando kabisa, sikutaka hata kushiriki. Kila mtu ana utamaduni na nidhamu yake ya fedha. Kwenye fedha ndipo penye figisu nyingi sana
 
Jamani nilikua sijauona uzi..mi nipo Idodomya...mbona kashfa kubwa hii hebu mtajeni na sio kuharibu taswira ya watu wa Dodoma wenye mapene yetu [emoji38] [emoji38] [emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dear unalo hili.
 
Ungekuwa na pesa wala usingeona kero kumpa mwanamke vocha. Kinachokusumbua ni umaskini wala sio mpenzi wako kuomba umsaidie. Tafuta hela uache kujiliza. Utakuwa hauna tofauti na binti.
Ongeza sauti dear, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna kampuni nikiwa mgeni wakaniambia niingie vicoba, nikaishia kudhulumiwa. Vikoba nitacheza vya peke yangu
Mimi mwenyewe coworkers walianzisha kicoba eti tuweke laki laki
Mimi pekeyangu nikakataa kucheza.

Wanasema ukicheza vicoba unashika hela kubwa kwa mkupuo na unafanya maendeleo.

Nikasema mm vitu nitanunua mdogo mdogo tu,wala sina haraka kiasi hicho.
 
Nilijiweka kando kabisa, sikutaka hata kushiriki. Kila mtu ana utamaduni na nidhamu yake ya fedha. Kwenye fedha ndipo penye figisu nyingi sana
Mkuu katika mambo ya hovyo niliyowahi kushiriki ni ule mchakato halafu kipindi hicho JF ni ya moto siri kibao za Wakubwa ziikuwa zinaanikwa na wazee wa kazi walikuwa wapo kazini mara unasikia fulani kang'olewa kucha mara fulani kaokotwa msitu fulani halafu na tulivyokuwa hatujitambuwi tukaanzisha Saccos. [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
 
Nimeguswa Kwa sababu katika safari yangu ya maisha nilikutana na msamaria akaninyanyua na kubadili historia ya maisha yangu kwa kiwango cha kuweza kumtukuza Mungu.

Naitambua thamani ya msaada Kwa mhitaji.

Ninaroho ya huruma sana buji hususani ninapoona mtu anapitia changamoto za maisha.

Nikiona naweza kumsaidia mtu basi ninafanya hivyo sio Kwa sababu yangu,,hapana ni Kwa sababu ya kusema Asante Kwa Mungu Kwa mema aliyonitendea,kumpa nafasi mhanga ya kuweza kuuona ukuu wa Mungu ndani ya mtu..lakini pia kumkopesha Mungu Kwa ajili ya watoto wangu.

Ninaimani kunakipindi katika hali ya kibinadamu nitashindwa kuombea vizazi vyangu..basi kila sadaka niliyomtolea Mungu Kwa kumgusa moja kwa moja hapo ndipo itakapoweza kuinuka.

Kwa ufupi sana Buji na ninaimani umenielewa.si ndio.
Barikiwa sana mpendwa
 
Na ujinga wa vicoba ndo huo yani unakopa huku urudishe huku wamama wanahaha tena ukute mtu mzima utamuone huruma...yani hautakaa ukae kwa uhuru..mtu anakukopa let say laki anaenda kuirudisha kikoba A anakopa tena anaenda kurudisha kikoba B ni utumwa
Eti next week napokea nitakupa[emoji23]
Aisee,
Hela yangu binafsi naogopa kuiingiza kwenye vicoba
Halafu eti nimpe mtu akachezee kicoba!
 
Back
Top Bottom