Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 19,749
- 62,766
Habari ya Jumatatu waungwana..
Me navyojua mtu akikutongoza kama huna interest nae ukimkataa kwanza hata mazoea nae inabidi yafe,. Labda kama mlikua ni watu wa karibu au marafiki mnaweza mkaendelea lakini mipaka iwepo au kama ni kazi mfocus na kazi basi..
Sasa buana huyu bidada alitongozwa akamkataa kijana watu sijui mbaba kwa dharau kama zote,. Akaona haitoshi kwakua anamfahamu mke wake akaanza na vijembe kwa mama mjengo wa watu maskini " mara ooh bwanako hana maaana " angekuwa anakupenda asingenitongoza" na bra bra kama zote,.. Alivyo hana akili sasa mtu alishamkataa lakini bado walikua wanachatishana na hela anamwomba asijue kaka wa watu anamuwazia nini na mke wake alikua kashaanza kumshitakia kuhusu binti mchepuko..
Siku isiyo na jina ambayo ni juzi sasa kama utani jamaa kamwalika binti wakanywe akaenda wakaenda hadi Lodge kilichompata anakifahamu mwenyewe .. Hii nimeikuta jana hospitali fulani Muuguzi wa mgonjwa ndio anasimulia chanzo cha kulazwa na mgojwa wake,. ndugu hawana siri😃
Sema hii nchi jau sana,. yaani niko hapa dirishani (NBC )mpaka naandika uzi namaliza teller bado hajamaliza kunihudumia Imagine,. Yupo slooooow na makucha yake marefu kama jini mxiewww😏🚮🚮