Wadada ukishamkataa mtu basi tulia fanya mambo yako ya msingi. Mdomo umeponza mtu leo

Habari ya Jumatatu waungwana..

Me navyojua mtu akikutongoza kama huna interest nae ukimkataa kwanza hata mazoea nae inabidi yafe,. Labda kama mlikua ni watu wa karibu au marafiki mnaweza mkaendelea lakini mipaka iwepo au kama ni kazi mfocus na kazi basi..

Sasa buana huyu bidada alitongozwa akamkataa kijana watu sijui mbaba kwa dharau kama zote,. Akaona haitoshi kwakua anamfahamu mke wake akaanza na vijembe kwa mama mjengo wa watu maskini " mara ooh bwanako hana maaana " angekuwa anakupenda asingenitongoza" na bra bra kama zote,.. Alivyo hana akili sasa mtu alishamkataa lakini bado walikua wanachatishana na hela anamwomba asijue kaka wa watu anamuwazia nini na mke wake alikua kashaanza kumshitakia kuhusu binti mchepuko..

Siku isiyo na jina ambayo ni juzi sasa kama utani jamaa kamwalika binti wakanywe akaenda wakaenda hadi Lodge kilichompata anakifahamu mwenyewe .. Hii nimeikuta jana hospitali fulani Muuguzi wa mgonjwa ndio anasimulia chanzo cha kulazwa na mgojwa wake,. ndugu hawana siri😃

Sema hii nchi jau sana,. yaani niko hapa dirishani (NBC )mpaka naandika uzi namaliza teller bado hajamaliza kunihudumia Imagine,. Yupo slooooow na makucha yake marefu kama jini mxiewww😏🚮🚮
Chai
 
Huyo teller hana tofauti na wale wa NMB Mlimani City nao wapo slow mno yaani
 
makucha marefu unapenda?🤢
No sipendi ni vile kitoto cha kimarekani kimenihadaa sasa si unajua katika kurekebisha mustakabari wa habari na hitilafu mbalimbali bila kujali ramani ni kula vizazi bila tanakali ya itifaki bali utamu mbalimbali!...😉

By the way you know i really love you coz your my first queen so do not worry...🥰
 
Hizo ngendembwe ngendembwe ndo kuna muda zinafanya maisha yawe na utamu flani hivi....

Sasa mfano eti unaachana na mtu, mnaachana kwa amani sijui mnaonana mnasalimiana sa ndo nini, raha muachane kwa fujo dai vitu vyako, yani kama ana weaving lako kichwani kaa hapo chini fumua niondoke nalo.

Ukimuona anatokezea okota hata jiwe hata kama hauna nia ya kumbutua nalo, basi tu amsha amsha......

No reforms no election.
Jamaa mmoja alishusha Nyumba!
 
Naona ilirudi kinyumenyume 🤣🤣
FB_IMG_17470362167990385.jpg
 
Aaah umenikumbusha kuna mshikaji wangu aliamuacha dada mmoja. Sasa cha ajabu yule demu akawa anatembea na kisu ili amchana yule jamaa. Yaani akinisimulia jonsi anavyomwogopa nacheka .papa basi
Alafu dada yule ukimuona msatarabu sana, sasa ukimwambia jamaa anang'aka weee yule anatembea na kisu hatari yule.
 
Kuna namba ni chafu sana mkuu, hazifai kuguswa, kuna watu hawatakagi kukubali kuachika. Atakutupia hata majini.
 
Back
Top Bottom