Stop simping,you baboon.Nimekumiss leejay
hahah😂😂😂😂,. nimeipenda hiiHizo ngendembwe ngendembwe ndo kuna muda zinafanya maisha yawe na utamu flani hivi....
Sasa mfano eti unaachana na mtu, mnaachana kwa amani sijui mnaonana mnasalimiana sa ndo nini, raha muachane kwa fujo dai vitu vyako, yani kama ana weaving lako kichwani kaa hapo chini fumua niondoke nalo.
Ukimuona anatokezea okota hata jiwe hata kama hauna nia ya kumbutua nalo, basi tu amsha amsha......
No reforms no election.
Nilivyosoma nilijua nilitaka kuhakikisha tu.kwani lini nlikua wakiume kiongozi??,.
Kwa hali waliyomkuta nayo mgonjwa wanasema itakua walimfanya mtungo mbele na nyuma japo hakuna mwenye ushaidiNilivyosoma nilijua nilitaka kuhakikisha tu.
Ila itakuwa alipakiwa mkongo mixer mchuzi wa peza ,viagra na konyagi juu.
Mmh ...labda kati ya yafuatayoHujamaliza stori leejay,jamaa alimfanya nini huyo Binti?
Jeshi la mtu mmoja tu.Jamaa kaangalia kama na CCM kupo kapitisha kisanvu cha kopoKwa hali waliyomkuta nayo mgonjwa wanasema itakua walimfanya mtungo mbele na nyuma japo hakuna mwenye ushaidi
Kwa hiyo kuna washkaji alikuwa nao tayari walishaandaa huo mpango?Inaonekana walimfanya mtungo mbele na nyuma japo hakuna mwenye ushahidi😂😂,.
Maana ndugu wanasema hadi walikua wanaona aibu kufuata pf3
Baby unajua napenda hayo majini...😂Habari ya Jumatatu waungwana..
Me navyojua mtu akikutongoza kama huna interest nae ukimkataa kwanza hata mazoea nae inabidi yafe,. Labda kama mlikua ni watu wa karibu au marafiki mnaweza mkaendelea lakini mipaka iwepo au kama ni kazi mfocus na kazi basi..
Sasa buana huyu bidada alitongozwa akamkataa kijana watu sijui mbaba kwa dharau kama zote,. Akaona haitoshi kwakua anamfahamu mke wake akaanza na vijembe kwa mama mjengo wa watu maskini " mara ooh bwanako hana maaana " angekuwa anakupenda asingenitongoza" na bra bra kama zote,.. Alivyo hana akili sasa mtu alishamkataa lakini bado walikua wanachatishana na hela anamwomba asijue kaka wa watu anamuwazia nini na mke wake alikua kashaanza kumshitakia kuhusu binti mchepuko..
Siku isiyo na jina ambayo ni juzi sasa kama utani jamaa kamwalika binti wakanywe akaenda wakaenda hadi Lodge kilichompata anakifahamu mwenyewe .. Hii nimeikuta jana hospitali fulani Muuguzi wa mgonjwa ndio anasimulia chanzo cha kulazwa na mgojwa wake,. ndugu hawana siri😃
Sema hii nchi jau sana,. yaani niko hapa dirishani (NBC )mpaka naandika uzi namaliza teller bado hajamaliza kunihudumia Imagine,. Yupo slooooow na makucha yake marefu kama jini mxiewww😏🚮🚮
🙌🤣🤣🤣Hizo ngendembwe ngendembwe ndo kuna muda zinafanya maisha yawe na utamu flani hivi....
Sasa mfano eti unaachana na mtu, mnaachana kwa amani sijui mnaonana mnasalimiana sa ndo nini, raha muachane kwa fujo dai vitu vyako, yani kama ana weaving lako kichwani kaa hapo chini fumua niondoke nalo.
Ukimuona anatokezea okota hata jiwe hata kama hauna nia ya kumbutua nalo, basi tu amsha amsha......
No reforms no election.
Mnaachana bila hata alama za ngumi sasa mtakumbukanajeHizo ngendembwe ngendembwe ndo kuna muda zinafanya maisha yawe na utamu flani hivi....