Mtu ulimnunulia jiko la gas afu unamuachia, heeee!!! Lichukue apikie kuni bana.....Mnaachana bila hata alama za ngumi sasa mtakumbukanaje
Kama anapoishi pembeni Kuna miti kata yote akatafutie Kuni mtaa wa Tisa hukoooMtu ulimnunulia jiko la gas afu unamuachia, heeee!!! Lichukue apikie kuni bana.....
Mbona kama isidingo the need!Habari ya Jumatatu waungwana..
Me navyojua mtu akikutongoza kama huna interest nae ukimkataa kwanza hata mazoea nae inabidi yafe,. Labda kama mlikua ni watu wa karibu au marafiki mnaweza mkaendelea lakini mipaka iwepo au kama ni kazi mfocus na kazi basi..
Sasa buana huyu bidada alitongozwa akamkataa kijana watu sijui mbaba kwa dharau kama zote,. Akaona haitoshi kwakua anamfahamu mke wake akaanza na vijembe kwa mama mjengo wa watu maskini " mara ooh bwanako hana maaana " angekuwa anakupenda asingenitongoza" na bra bra kama zote,.. Alivyo hana akili sasa mtu alishamkataa lakini bado walikua wanachatishana na hela anamwomba asijue kaka wa watu anamuwazia nini na mke wake alikua kashaanza kumshitakia kuhusu binti mchepuko..
Siku isiyo na jina ambayo ni juzi sasa kama utani jamaa kamwalika binti wakanywe akaenda wakaenda hadi Lodge kilichompata anakifahamu mwenyewe .. Hii nimeikuta jana hospitali fulani Muuguzi wa mgonjwa ndio anasimulia chanzo cha kulazwa na mgojwa wake,. ndugu hawana siri๐
Sema hii nchi jau sana,. yaani niko hapa dirishani (NBC )mpaka naandika uzi namaliza teller bado hajamaliza kunihudumia Imagine,. Yupo slooooow na makucha yake marefu kama jini mxiewww๐๐ฎ๐ฎ
Ahahahah. Ila sad. Sasa ona unawapa fedheha watu kufuata pf3 ๐๐๐๐๐Inaonekana walimfanya mtungo mbele na nyuma japo hakuna mwenye ushahidi๐๐,.
Maana ndugu wanasema hadi walikua wanaona aibu kufuata pf3
I dont know , na pia sio wote. Binafsi labda labda roho yangu tu ndio sitakuachia, ila siwez visasi. They are too expensive. Maana huyo mwamba sasa hiyo tayar ni kesi na kama hivyo ana family, ameshajitia matatizoni.kwakweli ni fedheha๐ฅ
Sema kwanini mnakuwaga na visasi??
safi sana hiiiHabari ya Jumatatu waungwana..
Me navyojua mtu akikutongoza kama huna interest nae ukimkataa kwanza hata mazoea nae inabidi yafe,. Labda kama mlikua ni watu wa karibu au marafiki mnaweza mkaendelea lakini mipaka iwepo au kama ni kazi mfocus na kazi basi..
Sasa buana huyu bidada alitongozwa akamkataa kijana watu sijui mbaba kwa dharau kama zote,. Akaona haitoshi kwakua anamfahamu mke wake akaanza na vijembe kwa mama mjengo wa watu maskini " mara ooh bwanako hana maaana " angekuwa anakupenda asingenitongoza" na bra bra kama zote,.. Alivyo hana akili sasa mtu alishamkataa lakini bado walikua wanachatishana na hela anamwomba asijue kaka wa watu anamuwazia nini na mke wake alikua kashaanza kumshitakia kuhusu binti mchepuko..
Siku isiyo na jina ambayo ni juzi sasa kama utani jamaa kamwalika binti wakanywe akaenda wakaenda hadi Lodge kilichompata anakifahamu mwenyewe .. Hii nimeikuta jana hospitali fulani Muuguzi wa mgonjwa ndio anasimulia chanzo cha kulazwa na mgojwa wake,. ndugu hawana siri๐
Sema hii nchi jau sana,. yaani niko hapa dirishani (NBC )mpaka naandika uzi namaliza teller bado hajamaliza kunihudumia Imagine,. Yupo slooooow na makucha yake marefu kama jini mxiewww๐๐ฎ๐ฎ
Mbona naona mdada kuliwa nyuma sio jambo la aibu, mwanaume kuliwa nyuma ndo kitu cha aibu Leejay49Inaonekana walimfanya mtungo mbele na nyuma japo hakuna mwenye ushahidi๐๐,.
Maana ndugu wanasema hadi walikua wanaona aibu kufuata pf3
Story haijaisema hivo๐Huyo Lazima alipanuliwa kijambio ๐ฅ
Lkn pia haijasema binti amefanywa nn ๐Story haijaisema hivo๐
Ahaaaa sio kwa mikucha hioHabari ya Jumatatu waungwana..