Wadada ukishamkataa mtu basi tulia fanya mambo yako ya msingi. Mdomo umeponza mtu leo

Chai
 
Huyo teller hana tofauti na wale wa NMB Mlimani City nao wapo slow mno yaani
 
makucha marefu unapenda?🤢
No sipendi ni vile kitoto cha kimarekani kimenihadaa sasa si unajua katika kurekebisha mustakabari wa habari na hitilafu mbalimbali bila kujali ramani ni kula vizazi bila tanakali ya itifaki bali utamu mbalimbali!...😉

By the way you know i really love you coz your my first queen so do not worry...🥰
 
Jamaa mmoja alishusha Nyumba!
 
Aaah umenikumbusha kuna mshikaji wangu aliamuacha dada mmoja. Sasa cha ajabu yule demu akawa anatembea na kisu ili amchana yule jamaa. Yaani akinisimulia jonsi anavyomwogopa nacheka .papa basi
Alafu dada yule ukimuona msatarabu sana, sasa ukimwambia jamaa anang'aka weee yule anatembea na kisu hatari yule.
 
Kuna namba ni chafu sana mkuu, hazifai kuguswa, kuna watu hawatakagi kukubali kuachika. Atakutupia hata majini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…