Wadada ukishamkataa mtu basi tulia fanya mambo yako ya msingi. Mdomo umeponza mtu leo

Aisee kweli, yule jamaa akikusimulia yaaani anamuogopa utafikiri ana bange mfukoni mbele ya polisi.
Utasikia ana kisu cha mkunjo amenitishia kunichoma mara kibao.
Kuna watu sio salama kabisa kuwa nao kimahusiano, ni nusu wehu. Kuna dada mfia dini, ukimtizama kwa jicho la kawaida ni mzuri sana ila jichanganye ujute
 
Kuna watu sio salama kabisa kuwa nao kimahusiano, ni nusu wehu. Kuna dada mfia dini, ukimtizama kwa jicho la kawaida ni mzuri sana ila jichanganye ujute
Huyo mdada ukimuona aiisee ni mtu wa maana sana. Yaani moye nikisikia jamaa anavyomsimulia na kumuogopa namuonaga km muongo vile. Ila jamaa akisimulia yaani ana hofu kibao kwenye macho yake.
 
Huyo mdada ukimuona aiisee ni mtu wa maana sana. Yaani moye nikisikia jamaa anavyomsimulia na kumuogopa namuonaga km muongo vile. Ila jamaa akisimulia yaani ana hofu kibao kwenye macho yake.
Mapenzi yana nguvu sana kuna watu ni looser sekta hiyo kwahiyo wakipata pa kufia hawakubali kupoteza kwa namna yeyote ile, Mungu aniepushie na watu wa aina hiyo.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…