Wadada ulizeni maswali Wanaume wawajibu hapa

Ni wakati upi huwa mnakuwa wakweli kabisa kutoka moyoni kumuambia mwanamke kuwa 'she is sweet'..!!

i; Wakati wa tendo..?
ii; Baada ya tendo..??
iii; Ama ukiwa unahitaji tena tendo.?
 

Mi sijaelewa bado.

Naomba maelezo ya kina tasavali, akiwemo na babu ODM Asprin kukazia maelezo ya hilo swali.
 
Kwanini hampendi kushikwa makalio?

Mkuu sijawahi kusikia tako la mwanaume limemvutia mwanamke, lakini sisi yantuvutia na ndio maana tunayashiaka na kyachezea na kama mwanmke anavutiwa na tako la mwanaume mhh basi kunakitu kingine, kwa hiyo ndo maana mwanaume akishikwa tako na mwanamke anakasikirika kwa sababu hizo sio tabia za kike!
 
Aiseee ktk ujibuji zingatieni hatutoi siri za kambi si mnaelewa kilichompataga yule kambare wa hamida aliegaragara akilia hamida kaniacha..πŸ˜‚πŸ˜‚

Sasa wandugu tuzingatie ujibuji heri lawama kuliko fedhea..πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…