Wadada ulizeni maswali Wanaume wawajibu hapa

Wadada ulizeni maswali Wanaume wawajibu hapa

Sijui kwanini ila hili swali nishaulizwa na wanawake zaidi ya wanne nahisi kuna mwingine atauliza. So nitajibu in advance.

Swali lenyewe ni "Mkisimamisha hua ni kwavile mnataka ngono?"

Jibu ni "Hapana. Kusimamisha kwa sisi wanaume siyo lazima kumaanisha tunataka ngono mfano naweza nikawa kwenye daladala ghafla nikasimamisha, au nikaamka huku nimesimamisha. Sometime nakua sina kazi nimejilaza kitandani na uume wangu utasimama ni kama unaniambia 'Uko lonely hebu cheza na mimi' so jibu lake ni hilo. Kusimamisha haimaanishi nataka ngono"

Mi sijaelewa bado.

Naomba maelezo ya kina tasavali, akiwemo na babu ODM Asprin kukazia maelezo ya hilo swali.
 
Kwanini hampendi kushikwa makalio?

Mkuu sijawahi kusikia tako la mwanaume limemvutia mwanamke, lakini sisi yantuvutia na ndio maana tunayashiaka na kyachezea na kama mwanmke anavutiwa na tako la mwanaume mhh basi kunakitu kingine, kwa hiyo ndo maana mwanaume akishikwa tako na mwanamke anakasikirika kwa sababu hizo sio tabia za kike!
 
Aiseee ktk ujibuji zingatieni hatutoi siri za kambi si mnaelewa kilichompataga yule kambare wa hamida aliegaragara akilia hamida kaniacha..😂😂

Sasa wandugu tuzingatie ujibuji heri lawama kuliko fedhea..😅
 
Back
Top Bottom