Wadada ulizeni maswali Wanaume wawajibu hapa

Wadada ulizeni maswali Wanaume wawajibu hapa

Ni sawa kwa mwanaume kumsalimia mwanaume mwenzie mambo? Tena ile mambo ya kuvuta[emoji23]

Unaweza kwenda kukaa kwa girlfriend wako ilihali you have your place?

Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea mambo ya kiimbo gani.

Mfano naweza mwambia rafiki yangu mambo niaje aiseeh...

Ila siwezi kutumia mambo pekee yake.


Hilo la pili wajibu mabachelor.
 
Ni wakati upi huwa mnakuwa wakweli kabisa kutoka moyoni kumuambia mwanamke kuwa 'she is sweet'..!!

i; Wakati wa tendo..?
ii; Baada ya tendo..??
iii; Ama ukiwa unahitaji tena tendo.?
Anytime tunaweza kua waongo ama wakweli inategemea na tunayeongea nae na kushughulika nae na malengo yetu juu yake

Kama simuelewi mtu na simpendi sidhani Kama ntasema ukweli halisi kwamba nampenda neno la halitatoka moyoni Bali kichwani tu na moyo ndio wenye ukweli
 
Back
Top Bottom