Hv wanaume mnataka nini hasa?
Ukipewa kiuno unamwacha unatafuta mwingine, ukinyimwa pia unamwacha unatafuta mwingine, kwanini?
Mnaanzisha mahusiano ukishapewa mchezo unabadilika, mawasiliano yanapunguzwa au kukatwa kabisa, unajifanya upo busy kupita castoma kea, mwisho wa siku unapotezea kabisa! Chakushangaza baada ya muda iwe i.e mwezi, miezi, mwaka kadhaa unarudi tena pale pale unataka muendelee mlipoishia, kwa nini?
Unataka mwanamke mchapakazi, independent, mwaminifu, mcha Mungu, asiyeomba hela, lkn ukimpata unamchukulia poa, hujali hisia zake, wala humuheshimu, kwa nini?
Hebu jibuni hayo kwanza