qarem
JF-Expert Member
- Oct 19, 2018
- 626
- 825
Aise Mimi huwa sipendi kidume mwenzangu anisalimie mambo
Hilo swali LA pili jibu kama mwanaume anejielewa hawez enda kuishi kwa mwanamke,ukiachana na ule mfumo wetu dume,wanawake wana wasimango sana unaweza aibika mtu mzima!
Hilo swali LA pili jibu kama mwanaume anejielewa hawez enda kuishi kwa mwanamke,ukiachana na ule mfumo wetu dume,wanawake wana wasimango sana unaweza aibika mtu mzima!
Ni sawa kwa mwanaume kumsalimia mwanaume mwenzie mambo? Tena ile mambo ya kuvuta[emoji23]
Unaweza kwenda kukaa kwa girlfriend wako ilihali you have your place?
Sent using Jamii Forums mobile app