Wadada ulizeni maswali Wanaume wawajibu hapa

Wadada ulizeni maswali Wanaume wawajibu hapa

Aise Mimi huwa sipendi kidume mwenzangu anisalimie mambo

Hilo swali LA pili jibu kama mwanaume anejielewa hawez enda kuishi kwa mwanamke,ukiachana na ule mfumo wetu dume,wanawake wana wasimango sana unaweza aibika mtu mzima!
Ni sawa kwa mwanaume kumsalimia mwanaume mwenzie mambo? Tena ile mambo ya kuvuta[emoji23]

Unaweza kwenda kukaa kwa girlfriend wako ilihali you have your place?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ah wanavibrate balaaa..alafu utashanga ndio kwanza anazidi kukusogezea kinyeo...ukiwa nda lube yako hapo ah in no time unajiterezea tuu kwanza kwa kutest kichwa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂
Umekuwa kula tigo?
 
Kwanini wanaume mkiulizwa na wanawake "baby hivi kweli wanipenda"? Wengine hukasirika tatizo huwa Nini?
Hilo swali mara nyingi haliulizwi bila kuwa na sababu za msingi..Swali litakalofwata baada ya hilo mara nyingi ni tata..Tunakasirika ili kukutoa kwenye reli..

Nyongeza..

Wengine uwa wanaona ni swali la kijinga..
 
Kwanini hampendi kushikwa makalio?
Kwasababu tunajiisi vibaya kama
Ni wakati upi huwa mnakuwa wakweli kabisa kutoka moyoni kumuambia mwanamke kuwa 'she is sweet'..!!

i; Wakati wa tendo..?
ii; Baada ya tendo..??
iii; Ama ukiwa unahitaji tena tendo.?
Wakati tukiwa na asira ama.tumelewa ndio huwa tunaongea ukwel. Lakin hizo nyakit nyingne ulizo taja huwa ni nyakat za kampen tu
 
Mi naomba kujua mwanamke mtamu ndo yukoje? Na je utamu ni asili, yaani unakuta wala sio mtundu ktk tendo ila tu ni mtamu i mean yyko kawaida tu hana mbwembwe nyingi. Au utundu ndo unafanya awe mtamu.
Utam ni asili + ufundi wa mtu.
 
Hamna raha yoyote ila tu napenda nikutanie just in case nikikuta hujayapaka mafuta
Kuna tofauti iliopo kati ya makalio ya mwanamme na mwanamke...kifupi,we men in general,we are more muscular than women(sasa hizo feeling za kuyashika wanaume tutazitoa wapi,nawe ushasema 'hamna raha yoyote',ni utani)...
 
Mi sijaelewa bado.

Naomba maelezo ya kina tasavali, akiwemo na babu ODM Asprin kukazia maelezo ya hilo swali.
Mi unanionea bure ujue... Nshazeeka.

Kwa umri wangu mgegedo ukisimama ujue umemkumbuka au umemwona Kasie... Yaani unataka utendewe haki au upewe neno la shukrani...

Sasa tufanye umesimama afu Kasie yuko hapa....

Ni shuwaaaaap mtelezo mpaka kwa bibi...

Kwanza ndio kazi yake...

Tumbo likihisi njaa unalipa chakula, right? Mdomo ukipata kiu unaupa maji, sawasawa?

Sasa kwanini ODM akitaka haki yake asipewe umsingizie kitu kingine?

Nimeliza labda kama una swali jingine au kama una sadaka yoyote uilete ghalani kwangu.

ODM, Kaunta kiti kirefu... Butihama Bar

Mabwepande, Tanzania
 
Mnapata wapi ujasiri wa kutaka mahusiano na mwanamke aliyekuzidi umri? Achaneni na mambo ya AGE IS JUST THE NUMBER.
Mapenzi ni zaid ya sex ni zaid ya umbo. Kwaiyo ujasili wa kutoka na mtu anaenizid umri unakuja pale unapoona hisia zako zipo kwake kwel na pia kuna kitu ambacho unakimis ila kwake kipo
 
Ni wakati upi huwa mnakuwa wakweli kabisa kutoka moyoni kumuambia mwanamke kuwa 'she is sweet'..!!

i; Wakati wa tendo..?
ii; Baada ya tendo..??
iii; Ama ukiwa unahitaji tena tendo.?
Hii kitu n ntu na ntu..

Binafsi,huwa n kabla,wakati na baada ya tendo...

Kuna best things to say before,during and after sex...as unavyojua kunakuwaga na alot of stuffs...
 
Mkuu hata kwenye maisha ya kawaida nje ya mahusiano, siku zote ukikipata kitu ulichokua unakihitaji utakua excited mwanzoni tu, lakini baada ya muda thamani ya hicho kitu inapungua ama kupotea kabisa sababu unakua na uwezo wa kuki access muda wowote.
Hivyo hivyo kwenye mahusiano, mwanaume akishakupata, akalala na wewe thamani yako automatically inapungua, ndio maana kwa utafiti wangu usio rasmi wanawake wengi wasoma alama za nyakati huwa wanataka ndoa kwanza ndio watoe asali.

Ukiona mwanaume amemuacha mwanamke halafu amerudi tena rejea kwenye nadharia ya kwanza hapo juu kua thamani ya kitu itaanza kuonekana siku ukikikosa au ukashindwa kuki access kama hapo before,
Pia nje ya hapo kiujumla mwisho wa siku inabaki kua tabia ya mtu mwenyewe, malezi aliyokulia na circle ya watu wanaomzunguka, hasa watu wake wa karibu zaidi (marafiki)
KUbabeki..this is naked truth aiseh🙆‍♀️🙆‍♀️
 
Back
Top Bottom