We ni janga yaani hadi leo unategemea mwanaume akununulie chupi we unamnunulia?Toa pesa uone kama hata jipenda. Unataka mwanamke akuvalie mavazi mazuri umempa pesa??? Hivi mnajua hizo bidhaa mnazosema zinauzwa tshs ngapi?? Au mmezoea vya kuchinja tu??. Sidiria original full set na chupi yake sio chini ya laki Moja yaani yenye kiwango cha hali ya juu. Sasa jiulize unaweza kuhudumia???
Nimekuelewa Princess, ushirikiano muhimu, ila unamkuta mtu unampa 50,000 akanunue vijichupi anaishia kuzivuruga kwa makitu ya hovyoHaya tumesikia tunajitahidi kununua chupi za 5000 ila mtupe ushirikiano[emoji26][emoji26][emoji26].
peke etu hatuwezi
ila tunayataka, tungekua tunatulia na waume zetu au wanaume wetu walioyazoea ,tatizo kuruka ruka kunasababisha tunakuja kuchambuliwa humu..
sio kila mwanaume wa kumwonyesha pindo la chupi zetu, wengine wako katika research[emoji26]
Ha ha ha ukiweka screan saver kama ua la roseNingeipiga picha simu ingezima[emoji1] [emoji1]
Aisee nyie wadada msiovaa kyupi sijui mnatakaga nin kwakweli,huwa nagombana na dem wangu kwasababu hio yy anavaa kyupi akiwa period tuubora me sivai chupi.. kwani nalo ni kosa?
Ha ha wangu me hataki nivaeAisee nyie wadada msiovaa kyupi sijui mnatakaga nin kwakweli,huwa nagombana na dem wangu kwasababu hio yy anavaa kyupi akiwa period tuu
Umenihamasisha kinomaKuvaa chupi nzuri ni raha sana... Ata kwenye kale kamchezo unajikegeza tu uvuliwe chupi huku mwanaume anaisifia chupi ilivyo na mvuto!!! [emoji6][emoji6][emoji6]
Mbona umejaa upepo hivo ndugu? Je mada kama hii ina- affectije maendeleo ya mtu ? Unauhakika gani kwamba mtoa mada hama maendeleo yoyote ? Mi sioni shida tukiburudika na mada kama hizi baada ya kazi.Karne ya 21 bdo mtu anawaza usafi wa chupi ya demu? Fanya kaz za maendeleo acha utoto au na ww ndyo umefeli o level mwaka jana?
hahahaha umeua mkuu.Acha kutembea na wauza mboga ili uepukane na hiyo hali
Tena sijui ndo umeagiza toka Victoria SecretToa pesa uone kama hata jipenda. Unataka mwanamke akuvalie mavazi mazuri umempa pesa??? Hivi mnajua hizo bidhaa mnazosema zinauzwa tshs ngapi?? Au mmezoea vya kuchinja tu??. Sidiria original full set na chupi yake sio chini ya laki Moja yaani yenye kiwango cha hali ya juu. Sasa jiulize unaweza kuhudumia???
Ww huwa unaruhusu pic mkiwa faragha?Hii thread itakuwa ni ya umbea kam umbea mwengine kam hain picha
Dharau haifaisasa unatembea na mama ntilie unategemea nini mkuu?
Heri ya ww umeliona hiyo mamiloloHaya tumesikia tunajitahidi kununua chupi za 5000 ila mtupe ushirikiano[emoji26][emoji26][emoji26].
peke etu hatuwezi
ila tunayataka, tungekua tunatulia na waume zetu au wanaume wetu walioyazoea ,tatizo kuruka ruka kunasababisha tunakuja kuchambuliwa humu..
sio kila mwanaume wa kumwonyesha pindo la chupi zetu, wengine wako katika research[emoji26]
Ha ha haaaaaaaaa! Huyo utakuwa ulipata mke au mtoto wa mganga wa kienyeji... Ungejifanya mjanja angegeuka kobe[emoji1] [emoji1]SIKU NILIPOKOMA UZINZI
Niliingia na demu flan iv gest ,wakuu nilikutana na chupi hioo......, kaniki sio kaniki, dela sio dela, makirikiri sio makirikiri, Dushe nililala fasta ndo nikajua kweli mwili una hisia, Nilizuga naenda Kununua Salama so ikabd niache viatu vyangu, nilishtukia nje nimevaa kandambili badili, nilivyofka reception nikawaambia jmn chukuen buku ya kandambili zenu hizi, mm Uzinzi basi walicheka sana wale wadada, nikakodi boda boda akaniuliza broo unaelekea wap sasa mana aliona mguuni alikua anajifcha kucheka asijekujiharibia kaz, nikamwambia wewe twende tuu popote, Asivyo na huruma akaenda kuniacha stend na mm akili si haikua vzr nikakubali, Nilikua nimeuramba Mkanda nje full kupendeza, Ilikua aibu kinyamaa kwa ufupi ubrazamen uliisha ghafla nikajitia sijali chochote. kufika home ili kukwepa aibu kwa masiter na wazazi niliruka ukuta nikapitia dirishani ule usiku siku lala.
Mkuu dume la kenge, umemjubu vzr, kama anataka issues za ujenzi wa reli aende jukwaa la uchumiMbona umejaa upepo hivo ndugu? Je mada kama hii ina- affectije maendeleo ya mtu ? Unauhakika gani kwamba mtoa mada hama maendeleo yoyote ? Mi sioni shida tukiburudika na mada kama hizi baada ya kazi.