Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DdKuna sehemu nilienda kuangalia mgonjwa. Kulikuwa na sitting room za kiarabu (za kukaa chini, kuegemea mito). Aliingia binti mmoja mrembo hasa. Ila alipokuja kukaa na kunyoosha miguu ule uvundo uliotoka hapo ni Mungu tu ndio anajua. Haikujalisha kulikuwa na a/c na harufu ya oud.
Huyo ni mfano tu mmoja lakini wape kina dada wengi hasa wanaoshinda na viatu vya kufunika siku nzima huwa wananuka miguu mno.
Daah hapa Sasa itakuwaje jamani🤔🤔🤔
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Unajua kutumia fursa sanaNaomba mhamasishane ziwe nyingi nyingi tuone sampuli tofaut tofauti
Umeona eeeh. Wanataka tujisikie tu vibaya kumbe tupo kwenye truck moja.Itakua wote wana gaga kama zetu hao, wanatupiga kamba tu hapa
Na hawajatushtua ng'oooooooooooooooUmeona eeeh. Wanataka tujisikie tu vibaya kumbe tupo kwenye truck moja.
Tunashukuru kwa kusugua gagaKwaniaba ya wale wenzangu wavaa slipper za mchina #gaga #nawakilishaView attachment 2540417
I get your point Sisy,Aah dada ni sawa kwa upande mwingine
But for me i think ni vema hao anaowaona wako hivo akawapa msaada hapo hapodirectly sioni haja ya kusemea huku
Once ikishafika kwa internet people referit as bullying maana mtu mlengwa hujisikia vibaya and sometimes anajitenga pia people hudefine it as mean and being selfish
Let alone people live their life
That my point sisy
Refer ugomvi wa #Taylor Swift and Hailey Bieber | Selena Gomez and Kylie Jenner

😂 ni kweli lakini naona mmeanza kutii witoDd
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Unajua kutumia fursa sana
🤣🤣🤣🤣🤣Mwenye mosimo zake aje afwate
View attachment 2540292