Wadada wa humu niacheni

Hiyo Id ni ya kiume iko siku mtakuja amini comment yangu😁😁😁
 
Achana nao, wasikuchoshe my wangu. maisha yenyewe mafupi, tuenjoy. Tuchat zetu inbox
 
Nicheki inbox, maana yako hairuhusu conversation
 
Jamani da mau kasema hana shida na madanga yenu, mkae kwa kutulia..!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Halafu wanaume mnaomsema da mau kumbe pembeni mnatamani kummiliki mumkome nitawachamba kwa niaba yake.!!

Da Mau brand kubwa jf hivyo tusingependa kuona mnataka kuishusha kwa wivu wenu 😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…