Mrs Besyige
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 1,040
- 2,923
mauzinde mutoto ya tanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasemaje sitaki da mau asemwe 😂😂😂Sawasawa 😂
Hiyo Id ni ya kiume iko siku mtakuja amini comment yangu😁😁😁Weee 😂😂😂😂
Sasa mbona mi huku sina rafiki..!!
Da mau hebu kunywa maji kwanza ushushe presha..!!
Aliyekwambia humu kuna marafiki kakudanganya, humu tunaishi km msitu wenye wanyama wakali..!!
Ukitoa info zako na ukijirahisisha lazima jf uione chungu.!!
Swali kwako; Je kuna member yoyote umewahi kukutana naye.??
😂😂😂😂 raha jipe mwenyewemake kwanza ncheke
Weee sema kweli?? 🤣🤣🤣🤣Hiyo Id ni ya kiume iko siku mtakuja amini comment yangu😁😁😁
Niamini mimi best😁😁Weee sema kweli?? 🤣🤣🤣🤣
Humu mambo hovyo hovyo
Achana nao, wasikuchoshe my wangu. maisha yenyewe mafupi, tuenjoy. Tuchat zetu inboxYaani mtu ni mzee amekosa wakukumbushia mabifu yenu sasa mnakuja kunitafuta sasa niacheni . Nimechoka na kama mtu anadai nawazibiia rizikii sijaja kuwafuata madanga yenu.
Msinichoshe si jf tu ndio mnaihangaikia . Mnahangaika na mimi tu. Sibadili ID . nanitabakia na ID YANGU NA MTAKEREKA SANA . NA ID MTABADILI MPAKA MWISHO WA dunia kwa upande wenu
Nicheki inbox, maana yako hairuhusu conversationYaani mtu ni mzee amekosa wakukumbushia mabifu yenu sasa mnakuja kunitafuta sasa niacheni . Nimechoka na kama mtu anadai nawazibiia rizikii sijaja kuwafuata madanga yenu.
Msinichoshe si jf tu ndio mnaihangaikia . Mnahangaika na mimi tu. Sibadili ID . nanitabakia na ID YANGU NA MTAKEREKA SANA . NA ID MTABADILI MPAKA MWISHO WA dunia kwa upande wenu
Basi jf ina hekaheka 😂😂😂😂Niamini mimi best😁😁
Na kwa nini ucheke na baby yake kwa mfano😁😁😁Basi jf ina hekaheka 😂😂😂😂
Eee nimesahau kumbe da mau kaniambia niache kucheka 🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Mi naamini umesomea CubaWeee sema kweli?? 🤣🤣🤣🤣
Humu mambo hovyo hovyo
Lile lishangazi langu la humu limemvuruga kivuruge😜😜Kumekucha 😂😂😂
Nani kamuudhi da mau..??
😂😂😂 ma mchungaji puliiiiiz niache usingombanishe na da mauMi naamini umesomea Cuba
Mbona unaniangudha😂
Liambie lishangazi lako litulie haliwezi kushindana na da mau brand kubwa 😂😂😂Lile lishangazi langu la humu limemvuruga kivuruge😜😜
😂😂😂 Mimi kasema kwann nacheka na adui zake wakiwa wanamsema??Na kwa nini ucheke na baby yake kwa mfano😁😁😁
😂😂😂 ma mchungaji puliiiiiz niache usingombanishe na da mau