Loading failed
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 2,603
- 7,501
Sema li jey fote nai. Una sauti nzuri sana nimesoma hii comment yako nikakumbuka sauti yako na nime kumiss sana la mama hebu fanya kuniwekea namba zako tena PM maana nilipoteza simuMasikini wa Mungu[emoji1751][emoji1751].. Kipenzi Mimi hua sizingatiagi Nani anaongea Nini ninavyopita kulike,.. Uwe unanistua basi niache my dear.... Sipendi kuona ukiwa na huzuni kipenzi changu wamekusema Nini kibaya kwani?
Mnavijembe kama nini sasa sisi sio mawifi wala marafiki,wala wake wenzaKwani tumemfanya nini na wewe
Kwa hiyo ndio msumbue wenzenu kisa nini??Mashangazi ndyo tupo 😊
EhNionesheni njia ya kufika PM kwa Unique Flower nikamtulize.
OhoooSema li jey fote nai. Una sauti nzuri sana nimesoma hii comment yako nikakumbuka sauti yako na nime kumiss sana la mama hebu fanya kuniwekea namba zako tena PM maana nilipoteza simu
he he he 😃😃, wee sema kweli 🤒Sema li jey fote nai. Una sauti nzuri sana nimesoma hii comment yako nikakumbuka sauti yako na nime kumiss sana la mama hebu fanya kuniwekea namba zako tena PM maana nilipoteza simu
Flower vipi tena mrembo nani kakukoroga ?Yaani mtu ni mzee amekosa wakukumbushia mabifu yenu sasa mnakuja kunitafuta sasa niacheni . Nimechoka na kama mtu anadai nawazibiia rizikii sijaja kuwafuata madanga yenu.
Msinichoshe si jf tu ndio mnaihangaikia . Mnahangaika na mimi tu. Sibadili ID . nanitabakia na ID YANGU NA MTAKEREKA SANA . NA ID MTABADILI MPAKA MWISHO WA dunia kwa upande wenu
Vipo vingii sana ushindwe bei weweMaua viwanja ushamaliza vyote? Unique Flower
Mie sina stress wala sipendi tu kuonewa ndio hivyoFlower vipi tena mrembo nani kakukoroga ?
Basi samehe mama maana sura yako nyororo haifanani kabisa na kukasirika
Usiiletee makunyanzi kimwana wasamehe yaise
Wasikuzeeshe mapema Kwa kukufanya na hasira Kila mara
Sawa kimwana
Sawa mkuu hawa madada wa humu waambie waje wanunue viwanja waache kukulipuaVipo vingii sana ushindwe bei wewe
Umevuta leo?Mie sina stress wala sipendi tu kuonewa ndio hivyo
Eh hawataki njoo wewe mwayaSawa mkuu hawa madada wa humu waambie waje wanunue viwanja waache kukulipua
Wamesema hawataki kweli?Eh hawataki njoo wewe mwaya
Mkuu pole sana! Lakini kusema kweli unahitaji msaada wa watu wako wa karibu….!Yaani mtu ni mzee amekosa wakukumbushia mabifu yenu sasa mnakuja kunitafuta sasa niacheni . Nimechoka na kama mtu anadai nawazibiia rizikii sijaja kuwafuata madanga yenu.
Msinichoshe si jf tu ndio mnaihangaikia . Mnahangaika na mimi tu. Sibadili ID . nanitabakia na ID YANGU NA MTAKEREKA SANA . NA ID MTABADILI MPAKA MWISHO WA dunia kwa upande wenu
Nifungulie PM nije huko kwa ajenda muhimu.
Hii mbinu nzuri sana ya kusema njooni. Tumekusikia live bila chenga.Yes ndio nilikuwa nawasubiri na ID ZENU zakiwaki hapa kazi umbeya hamna kazi za kufanya namnafuatilia maisha ya watu kama mnalipwa na huku hamna maana yeyote yakufanya eti attention seeker kwani wewe sio malaya seeker na hauna marinda siukapumzike tu . Uache kuja kuhangaika na mie nakupunguzia nini kazi umbeya tu. Hujulikani kisa umaskini tu unakuandama .
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wewe ukiona nasemwa unalike mara nyingi tu ila sina time