Wadada wa humu niacheni

Wadada wa humu niacheni

Masikini wa Mungu[emoji1751][emoji1751].. Kipenzi Mimi hua sizingatiagi Nani anaongea Nini ninavyopita kulike,.. Uwe unanistua basi niache my dear.... Sipendi kuona ukiwa na huzuni kipenzi changu wamekusema Nini kibaya kwani?
Sema li jey fote nai. Una sauti nzuri sana nimesoma hii comment yako nikakumbuka sauti yako na nime kumiss sana la mama hebu fanya kuniwekea namba zako tena PM maana nilipoteza simu
 
Yaani mtu ni mzee amekosa wakukumbushia mabifu yenu sasa mnakuja kunitafuta sasa niacheni . Nimechoka na kama mtu anadai nawazibiia rizikii sijaja kuwafuata madanga yenu.

Msinichoshe si jf tu ndio mnaihangaikia . Mnahangaika na mimi tu. Sibadili ID . nanitabakia na ID YANGU NA MTAKEREKA SANA . NA ID MTABADILI MPAKA MWISHO WA dunia kwa upande wenu
Flower vipi tena mrembo nani kakukoroga ?

Basi samehe mama maana sura yako nyororo haifanani kabisa na kukasirika

Usiiletee makunyanzi kimwana wasamehe yaise

Wasikuzeeshe mapema Kwa kukufanya na hasira Kila mara

Sawa kimwana
 
Mie sina stress wala sipendi tu kuonewa ndio hivyo
 
Yaani mtu ni mzee amekosa wakukumbushia mabifu yenu sasa mnakuja kunitafuta sasa niacheni . Nimechoka na kama mtu anadai nawazibiia rizikii sijaja kuwafuata madanga yenu.

Msinichoshe si jf tu ndio mnaihangaikia . Mnahangaika na mimi tu. Sibadili ID . nanitabakia na ID YANGU NA MTAKEREKA SANA . NA ID MTABADILI MPAKA MWISHO WA dunia kwa upande wenu
Mkuu pole sana! Lakini kusema kweli unahitaji msaada wa watu wako wa karibu….!
Kama watu wa jf wanakufanya kuugua basi hukuanza kuugua leo unahitaji msaada!
Hili jukwaa linatakiwa liunganishwe kwa ukaribu na Jf Dr …its getting very serious….,,!
 
Yes ndio nilikuwa nawasubiri na ID ZENU zakiwaki hapa kazi umbeya hamna kazi za kufanya namnafuatilia maisha ya watu kama mnalipwa na huku hamna maana yeyote yakufanya eti attention seeker kwani wewe sio malaya seeker na hauna marinda siukapumzike tu . Uache kuja kuhangaika na mie nakupunguzia nini kazi umbeya tu. Hujulikani kisa umaskini tu unakuandama .
Hii mbinu nzuri sana ya kusema njooni. Tumekusikia live bila chenga.
 
Back
Top Bottom