Loading failed
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 2,603
- 7,501
Sema li jey fote nai. Una sauti nzuri sana nimesoma hii comment yako nikakumbuka sauti yako na nime kumiss sana la mama hebu fanya kuniwekea namba zako tena PM maana nilipoteza simuMasikini wa Mungu[emoji1751][emoji1751].. Kipenzi Mimi hua sizingatiagi Nani anaongea Nini ninavyopita kulike,.. Uwe unanistua basi niache my dear.... Sipendi kuona ukiwa na huzuni kipenzi changu wamekusema Nini kibaya kwani?