Wadada wa Jf are you real serious kwenye mahusiano????????

Mshuwa

Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
46
Reaction score
10
habari zenu wakuu.

imenilazimu kuandika hii mada baada ya kuona na kupitia thread nyingi zinazohusiana au zenye vichwa vya habari kama' natafuta mpnzi,natafuta mwenzi,natafuta muhogo,nataka mchumba,natafuta company,.......nk.

Kweli ukifuatailia michango ilyo mingi ni kama vile muanzilishi anataka kuwachanga watu na kuchezea mind za watu kwa kuwa ukiangalia yeye mwenyewe anavyokuwa akirespond haonyeshi uhakiki wa hitaji lake.

mfano nilianzisha mada moja humu which was real serious lakini out of milions ya ladies ni wachache tu waliorespond na wengine hata nilivyokuwa kwenye PM walikimbilia kuuliza kabila hata kuna mmoja nilibaraza baada ya kusema kuwa hivi umesema wewe ni kabila fulani eti wewe umesema uko wapi na unafanya kazi kama nani....Totaly it was disappointing comments ambazo sikuzitegemea.

just swali tu JF ladies what are you real looking in relationship? kabila,Elimu,kipato location au cheo alichonacho na vyote anavyoviandika kwenye keyboard????

samahani kama nitakuwa nimewakwaza lakini hayo ndiyo mengi niliyoyaona nilipoakuwa nasoma mmu na love connect threads.
 
There u come again; mwanzo uliwaponda wakaka wa JF kuwa wanachezea tu wadada, nao kina dada r not serious, R u?

Wewe ulitaka wakuulizaje, size ya mkuki au?
 
Hivi unaijua jf unaisikia,kuna watu humu wanajitia wanawake lakini wanatembea na vikopo vya vaseline,kalagabaho!
Ps:
Kama uko serious unatafuta mwenza kama mkristu anza kuimba kwaya,au ka vipi angaza angaza kazini,harusini na kwenye mikusanyiko kama hiyo.
 
Vile vile unaweza kuona mtu ana ID ya kike, avatar ya kike, Kumbe kidume mwenzio.... kalagabaho! fuata ushauri wa Bishanga kwa kutafuta mwenza sehemu alizokuambia.
 
There u come again; mwanzo uliwaponda wakaka wa JF kuwa wanachezea tu wadada, nao kina dada r not serious, R u?

Wewe ulitaka wakuulizaje, size ya mkuki au?

.....hahahaha.... Nice one Kaunga, straight talking----"Bull's Eye!"
 
kuulizwa kabila na kazi unayofanya ni mambo ya kawaida sana, usije kuwa na mtu unaemzidi salary times 3 then badae iwe.... oooh ananinyanyasa kisa anazidi kipato.. mara sijui nn... funguka kijana, ;If you will be serious they will be Serious too.'
 
Sikujui hunijui unafikiri nitauliza nini? Tena bahati yako hujakutana na mimi maana nauliza mpaka cheti cha VVU sorry HIV test na kimo chako maana short chases sishobokei, shogaangu yeye anataka mpaka rangi na je umekaanga meno au mambo ya whitedent YES....Lol

Tatizo lenu wanaume mnafikiri sisi wanawake hatuchagui, na wasiochagua ndo mkiwapata ndani hawakai
 
Sasa ulitaka wakuulize maswali gani??hebu jichagulie maswali mwenyewe lol!
Kwa nini usitafute mpenzi/mke kwenye mazingira yaliyokuzunguka live,huku mitandaoni ni very risk!
 
habari zenu wakuu.

imenilazimu kuandika hii mada baada ya kuona na kupitia thread nyingi zinazohusiana au zenye vichwa vya habari kama' natafuta mpnzi,natafuta mwenzi,natafuta muhogo,nataka mchumba,natafuta company,.......nk.

Kweli ukifuatailia michango ilyo mingi ni kama vile muanzilishi anataka kuwachanga watu na kuchezea mind za watu kwa kuwa ukiangalia yeye mwenyewe anavyokuwa akirespond haonyeshi uhakiki wa hitaji lake.

mfano nilianzisha mada moja humu which was real serious lakini out of milions ya ladies ni wachache tu waliorespond na wengine hata nilivyokuwa kwenye PM walikimbilia kuuliza kabila hata kuna mmoja nilibaraza baada ya kusema kuwa hivi umesema wewe ni kabila fulani eti wewe umesema uko wapi na unafanya kazi kama nani....Totaly it was disappointing comments ambazo sikuzitegemea.

just swali tu JF ladies what are you real looking in relationship? kabila,Elimu,kipato location au cheo alichonacho na vyote anavyoviandika kwenye keyboard????

samahani kama nitakuwa nimewakwaza lakini hayo ndiyo mengi niliyoyaona nilipoakuwa nasoma mmu na love connect threads.
Ndugu, huijui JF au? Kabla hujaanza kuwauliza wenzako kama wako serious, jiulize na wewe mwenyewe kwanza kama you are also serious?
 
sasa mbona mambo ya kawaida sana! sasa ulitaka uulizwe nini? kama uko serious wajibu hayo maswali
 
si kweli sasa mbona wengi hamjaolewa!!
Henge kumbe bado tuko single lol?
Na nyie hamueleweki
Kila siku naona sread kaka wa JF kanihadaa
alinambia hana mke kumbe ameoa na ana watoto saba .nk nk
 
Last edited by a moderator:
hivi serious inaanzia ngapi?
Maana sijui vizuri.

Bishanga, watu kutembea na vaseline inakuhu? Utapakwa, shaurilo!
 
Last edited by a moderator:
Kweli ukifuatailia michango ilyo mingi ni kama vile muanzilishi anataka kuwachanga watu na kuchezea mind za watu kwa kuwa ukiangalia yeye mwenyewe anavyokuwa akirespond haonyeshi uhakiki wa hitaji lake.
Mshuwa, hapo kwenye bold, labda ueleze kinagaubaga je unataka mtu akirespond awe anarespond vipi?? Kwanza; Kumbuka kuwa mtu anatumia keyboard ya comp au keypad ya simu ama unataka akireposnd aanzE DARLING, SWEET, HONEY au akiongea awe anayatumia hayo maneno? Pili; Kumbuka kuwa mtafutaji na mtafutwaji wote wana majukumu either ya kikazi ama kibiashara anaweza kuwa busy na kazi ama biashara mpaka akakosa muda wa kurespond message husika sasa kama utaona amekuwa kimya jua kuna vitu vinachangia akawa hivyo!

mfano nilianzisha mada moja humu which was real serious lakini out of milions ya ladies ni wachache tu waliorespond na wengine hata nilivyokuwa kwenye PM walikimbilia kuuliza kabila hata kuna mmoja nilibaraza baada ya kusema kuwa hivi umesema wewe ni kabila fulani eti wewe umesema uko wapi na unafanya kazi kama nani....Totaly it was disappointing comments ambazo sikuzitegemea.
Hapo kwenye red: lazima mtafutaji au mtafutaji ajue mwenzie anafanya nini je kama ni "deiwaka watamudu maisha vipi, kuhusu kabila lazima ujue unataka kwenye kwenye tamaduni zipi ili ufatilie tamaduni zao, kuna tamaduni ambazo baadhi ya maneno au matendo ni matusi kwa tamaduni zingine so ni lazima ujue kabila. Mf. Mimi sipendelei kabila flani huko kusini sasa naweza kuanza kuuliza kabila ili nisije nikaji-commit afu nianza kujuta ama kupoteza muda.

Asante mkuu!!!!!!!
 
Hivi unaijua jf unaisikia,kuna watu humu wanajitia wanawake lakini wanatembea na vikopo vya vaseline,kalagabaho!
Ps:
Kama uko serious unatafuta mwenza kama mkristu anza kuimba kwaya,au ka vipi angaza angaza kazini,harusini na kwenye mikusanyiko kama hiyo.
Bishanga, kwani hapa JF huwezi kupata mtu aliye serious mbonan i kama vile unavopata mtu kwenye hiyo mikusanyiko. Mf umekutana na mtu kwenye hiyo mikusanyiko huwezi kutanganza kuwa unataka kuoa siku hiyo hiyo, bali utaanza kama rafii thn mtachunguzana kisha ndo mambo ya ndoa hufuata. the same applied to JF.........
 
Last edited by a moderator:
Sikujui hunijui unafikiri nitauliza nini? Tena bahati yako hujakutana na mimi maana nauliza mpaka cheti cha VVU sorry HIV test na kimo chako maana short chases sishobokei, shogaangu yeye anataka mpaka rangi na je umekaanga meno au mambo ya whitedent YES....Lol

Tatizo lenu wanaume mnafikiri sisi wanawake hatuchagui, na wasiochagua ndo mkiwapata ndani hawakai

Pokea likes tano maana hiyo moja niki-like hapo naona haitoshi... kuuza muhimu shost make unaweza kuta mh..... ngoja niiishie hapo nisijepondwa mawe mie!
 
worrrrrd! kwa mfano mie sitaki kibamia, wala sishobokei kimguu cha mtoto! iwe ya kati lakini pia iwe nyeusiiiiiiiii ka mpingo! wanaume weupe pia nna allergy nao! so kuulizwa maswali kaka ni lazima ili mtu apate perfect match yake!
 
Back
Top Bottom