Ndugu, huijui JF au? Kabla hujaanza kuwauliza wenzako kama wako serious, jiulize na wewe mwenyewe kwanza kama you are also serious?
sasa mbona mambo ya kawaida sana! sasa ulitaka uulizwe nini? kama uko serious wajibu hayo maswali
Kweli ukifuatailia michango ilyo mingi ni kama vile muanzilishi anataka kuwachanga watu na kuchezea mind za watu kwa kuwa ukiangalia yeye mwenyewe anavyokuwa akirespond haonyeshi uhakiki wa hitaji lake.
Mshuwa, hapo kwenye bold, labda ueleze kinagaubaga je unataka mtu akirespond awe anarespond vipi?? Kwanza; Kumbuka kuwa mtu anatumia keyboard ya comp au keypad ya simu ama unataka akireposnd aanzE DARLING, SWEET, HONEY au akiongea awe anayatumia hayo maneno? Pili; Kumbuka kuwa mtafutaji na mtafutwaji wote wana majukumu either ya kikazi ama kibiashara anaweza kuwa busy na kazi ama biashara mpaka akakosa muda wa kurespond message husika sasa kama utaona amekuwa kimya jua kuna vitu vinachangia akawa hivyo!
mfano nilianzisha mada moja humu which was real serious lakini out of milions ya ladies ni wachache tu waliorespond na wengine hata nilivyokuwa kwenye PM walikimbilia kuuliza kabila hata kuna mmoja nilibaraza baada ya kusema kuwa hivi umesema wewe ni kabila fulani eti wewe umesema uko wapi na unafanya kazi kama nani....Totaly it was disappointing comments ambazo sikuzitegemea.
Hapo kwenye red: lazima mtafutaji au mtafutaji ajue mwenzie anafanya nini je kama ni deiwaka watamudu maisha vipi, kuhusu kabila lazima ujue unataka kwenye kwenye tamaduni zipi ili ufatilie tamaduni zao, kuna tamaduni ambazo baadhi ya maneno au matendo ni matusi kwa tamaduni zingine so ni lazima ujue kabila. Mf. Mimi sipendelei kabila flani huko kusini sasa naweza kuanza kuuliza kabila ili nisije nikaji-commit afu nianza kujuta ama kupoteza muda.
Asante mkuu!!!!!!!
Sasa sisi Wazee wa longolongo hapo kwenye kazi tujaze nini? Mjasiliamari?Lol, tunahitaji vyote, fedha,kazi, Kabila Na mengine mengiiiiiii
Sikujui hunijui unafikiri nitauliza nini? Tena bahati yako hujakutana na mimi maana nauliza mpaka cheti cha VVU sorry HIV test na kimo chako maana short chases sishobokei, shogaangu yeye anataka mpaka rangi na je umekaanga meno au mambo ya whitedent YES....Lol
Tatizo lenu wanaume mnafikiri sisi wanawake hatuchagui, na wasiochagua ndo mkiwapata ndani hawakai
hahaha tuko full ndo maana hakuna aliyekuwa serious
Kila mtu yuko commited pole
ana bahati pia hajakutana na mimi angejuta, swali la kwanza, una gari, sina, mchezo ungeishia hapo, ukisema ndio, swali la pili height na complexion, ukisema kibushuti na light, biashara kwishnei pamoja na gari lako.....ungejuta wewe...
kajipange uje tena
mimi hii avatar ni picha yangu kabisa mkuu....ndugu yangu smile nauheshimu sana na ndio maana sikutaka kutekeleza ombi lako kwa kuwa siyo suluhisho la ninachokuta ungeamini vipi kwamba picha nikutumiayo siyo ya mtu mwingine wakati hata avater yako umeweka ya mtu mwingine?kwa hiyo ndi maana nilikuwa nasema kwa yeyote alielewa ninachokisema tukutane chemba ili tuongee yale anayoyataka niyaseme kwake?.
ila nashukuru kwa ujumbe wako
yapi dear?smile,ya kwel hayo?
si kweli sasa mbona wengi hamjaolewa!!