[emoji23] [emoji23] [emoji23] ....nini shunie???Jaman wit
Hahhahaha ukomeWe ndo usiseme kabisa unaniudhi hadi nasikia homa, pm toka mwaka jana hujibu..
Huo ubabe huo ww
Heeee[emoji3] [emoji3] [emoji3]Niweke pm yakohapa?
hahaaa kwahiyo jl ...anakuuma roho !!?Una uhakika gani hawa wote uliowatag ni wanawake? Inamaana unataka wote wakupm? Namuona umemuunganisha hadi Jolie Jolie. Jomoni...
hahaaaa wanasema umekulwa !!?Kuna MTU anadai eti kuna vijana huku wamenigegeda wamemtumia na video.yaani nimeshindwa kumdifine. Hao vijana wa kwanza ni kichaa flani. Kumbe kuna watu humu ni vichaa kweli.
well indeedkwahio hufanyi kazi unategemea pesa za wanaume tena tofaut tofaut
.halaaf pia usiwazungumzie jisemee wewe kama wewe..sababbu nafikiri pia naamini kuna wanawake wanaojielewa sana huku na sio wapayukaji payukaji ovyo na ni vigumu kuwatambua ila kwa mwanaume alie na nia thabiti kupata mwenza/rafiki/ basi hujitokeza na kuwapata.
Eti kajidai nakufupisha eti Demi hahaha utamgeuza jinsia tuone hata kama akifatwa pm atawafurahiaSasa jitahidi ufike kilingeni Msata haraka ila kwenye hiyo list yako kuna mtu naomba umremove kwa sababu za wazi kabisa
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] umenichekesha sana we mtuUnadhani wanawake wa Jf ni mandezi kiasi hiki!
Hata kama tuko nyuma ya keyboard, tunakujua mpaka mfukoni kwako kulivyo.
Baba, tafuta pesa....hizi sixpack waachie waliojichanga tayari.
Mwanaume asie na pesa, Pm ataipata kwa modereta kipindi anapewa sababu ya kwanini kala ban, otherwise.....utaisikia jukwaani tu.
Tena modereta mwenyewe wa kiume.
Samahani Mimi sio mdada ktk hiyo orodha chonganishiAisee. Kwa muda huo mfupi tayari unayo orodha ndeeefuuu ya wadada kichwani.
Noma sanaaa
Zainabu wangu upoHaswaa swadakta jibu zuri nimelipenda
Nipo haa kumbe mi wakoZainabu wangu upo
Yes,mimi ni Demi!ma love Num
kuna demi na demiss
Daaah[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaha nilishakwambia ukaoge mto ruvu husikii!
Maana licha ya kubadili majina na avatar huo mkosi umekuganda ka kupe kwenye makalio ya ng'ombe!
Hi dadake!Daaah[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hello DJHi dadake!
Safi tu mumu yule nanihii mzmaHello DJ
Sina cha kujibu!Pm yangu hujibu