Wadada wa JF msaada wenu tafadhali, sijawahi pata PM hata moja..!

Wadada wa JF msaada wenu tafadhali, sijawahi pata PM hata moja..!

Aisee. Kwa muda huo mfupi tayari unayo orodha ndeeefuuu ya wadada kichwani.

Noma sanaaa
 
Kuna MTU anadai eti kuna vijana huku wamenigegeda wamemtumia na video.yaani nimeshindwa kumdifine. Hao vijana wa kwanza ni kichaa flani. Kumbe kuna watu humu ni vichaa kweli.
hahaaaa wanasema umekulwa !!?
 
kwahio hufanyi kazi unategemea pesa za wanaume tena tofaut tofaut
.halaaf pia usiwazungumzie jisemee wewe kama wewe..sababbu nafikiri pia naamini kuna wanawake wanaojielewa sana huku na sio wapayukaji payukaji ovyo na ni vigumu kuwatambua ila kwa mwanaume alie na nia thabiti kupata mwenza/rafiki/ basi hujitokeza na kuwapata.
well indeed
 
Mbona mimi nakuPM kila siku, acha uongo!
 
Sasa jitahidi ufike kilingeni Msata haraka ila kwenye hiyo list yako kuna mtu naomba umremove kwa sababu za wazi kabisa
Eti kajidai nakufupisha eti Demi hahaha utamgeuza jinsia tuone hata kama akifatwa pm atawafurahia
 
Unadhani wanawake wa Jf ni mandezi kiasi hiki!
Hata kama tuko nyuma ya keyboard, tunakujua mpaka mfukoni kwako kulivyo.
Baba, tafuta pesa....hizi sixpack waachie waliojichanga tayari.
Mwanaume asie na pesa, Pm ataipata kwa modereta kipindi anapewa sababu ya kwanini kala ban, otherwise.....utaisikia jukwaani tu.
Tena modereta mwenyewe wa kiume.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] umenichekesha sana we mtu
 
Back
Top Bottom