Upo mremboSina cha kujibu!
Nini pesa, hata nguvu za kiume hana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo kiufupi hana hela
Hizi nguvu za kubeba matofaliNini pesa, hata nguvu za kiume hana
Mkuu JF ni shiiiiida, unaye mzania Me ndie Ke.Mambo yanabadlika sana!! yaan mwanaume unaanza kuomba kutongozwa kwel jaman!!! Wanaume wengine sijui mapepo ya ushoga sijui nn!!! Aise!!! Mbona wengne hatujawah hata kuwaza kuzitumia PM zetu kwa kutongoza hum jf yaan tunawaza kuhabalika tu... Ww mwanaume mwenzetu daa!!!!
Atutokee hapa.Hahahahahah umemuua jamani
Tafuta pesa.Duuuhhh wacha tusokua nahela tuendelee kupendwa mpaka basi.
Muwe mnaweka kianzio cha kuja pmAtutokee hapa.
Atafute pesa ili tuje pm kwake
Hajambooo[emoji23]Safi tu mumu yule nanihii mzma
Miss huyu hakufai kweli? Mkaribishe PMKila la kheri
Tanzania ya maisha bora.Duuuh hili jibu linatoka nchi gani vile?
Tanzania ya viwanda?
Tanzania ya maisha bora?
Tanzania ya ukweli na uwazi?
Mwambie jamaa anampenda mfano hakunaHajambooo[emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nini pesa, hata nguvu za kiume hana
Nmesikia Madame Blossom!!.. I know there is a question in " i love you?"... Well i don't have money ila nataka usijipe muda wa kutafakari jibu la ilo swali ,its simply because "i love you too " .Tafuta pesa.
Hatutaki wanaume wasio na pesa.
Husikii tu
Beira boy nae ni mdada?Jamani jamani wadada wa Jamii For life naomba msaada wenu please.
Nimejiunga Jf Dec 1 2016 Alhamis leo ni march 19 2018 nina kama mwaka miezi minne na siku 18 lakini toka siku hiyo sijawah pata pm yoyoye ile! 😡😡 Hata mtu kukosea njia akawa kani pm mm haijatokea hata salamu tu sipatiiii😱
Wengine wanapata wapenz, wanabebishana wanakulana, wanamahaba niue ila KASORO DAVINCI TU! WHY?????
Mshana Jr nitikisie tunguri nami nipate kanjiwa kamoja ka kubebishana nako humu
Taarifa iwafkie..
- Jolie jolie
- Numbisa
- Demiss
- Mama aabrina
- Geniveros
- Demi
- Shunie
- Miss natafuta
- Inna
- Maserati
- Minah24
- Nahuja
- Carbamazepine
- Cute b
- Miss chagga
- Sakayo
- Witness j
- Victor wa happy
- Cocochanel
- Madame B
- Lovely mumu
- Dj sepetu
- Mareth
- Madam S
- Gfsonwin
- Mahondaw
- Ukhuty
- Kapeace
- Nitarudi kuendekeza....
- Gentamycine
- V putin
- Limsambwanda
- Tumosa
- Y2n
- Majoto
- Kioo
- Mambembe
- beira boy
- The list
- Yeth lotah
- Padri mcharo
- Kisandu junior
Nimechelewa kukuja
Nitumie basi nimpeeMwambie jamaa anampenda mfano hakuna
Ila unawapm wanawake tuuNaomba uweke sijawah pm msichsna
Kabisa.Hahahaaaa wanawake wa jf wana talent ya kusmell mfuko wa mtu
Hahahaaa
Maneno meengi post mpya kila kukichaKabisa.
Mwanaume asie na pesa, hata thread zake utazijua