Wadada wa JF msaada wenu tafadhali, sijawahi pata PM hata moja..!

Wadada wa JF msaada wenu tafadhali, sijawahi pata PM hata moja..!

Mambo yanabadlika sana!! yaan mwanaume unaanza kuomba kutongozwa kwel jaman!!! Wanaume wengine sijui mapepo ya ushoga sijui nn!!! Aise!!! Mbona wengne hatujawah hata kuwaza kuzitumia PM zetu kwa kutongoza hum jf yaan tunawaza kuhabalika tu... Ww mwanaume mwenzetu daa!!!!
Mkuu JF ni shiiiiida, unaye mzania Me ndie Ke.
Full vice versa.
 
Tafuta pesa.
Hatutaki wanaume wasio na pesa.
Husikii tu
Nmesikia Madame Blossom!!.. I know there is a question in " i love you?"... Well i don't have money ila nataka usijipe muda wa kutafakari jibu la ilo swali ,its simply because "i love you too " .

Pesa ya kuhonga sina ,ila pesa ya kujali ipo Madame Beautiful....
 
Jamani jamani wadada wa Jamii For life naomba msaada wenu please.
Nimejiunga Jf Dec 1 2016 Alhamis leo ni march 19 2018 nina kama mwaka miezi minne na siku 18 lakini toka siku hiyo sijawah pata pm yoyoye ile! 😡😡 Hata mtu kukosea njia akawa kani pm mm haijatokea hata salamu tu sipatiiii😱
Wengine wanapata wapenz, wanabebishana wanakulana, wanamahaba niue ila KASORO DAVINCI TU! WHY?????
Mshana Jr nitikisie tunguri nami nipate kanjiwa kamoja ka kubebishana nako humu
Taarifa iwafkie..
  • Jolie jolie
  • Numbisa
  • Demiss
  • Mama aabrina
  • Geniveros
  • Demi
  • Shunie
  • Miss natafuta
  • Inna
  • Maserati
  • Minah24
  • Nahuja
  • Carbamazepine
  • Cute b
  • Miss chagga
  • Sakayo
  • Witness j
  • Victor wa happy
  • Cocochanel
  • Madame B
  • Lovely mumu
  • Dj sepetu
  • Mareth
  • Madam S
  • Gfsonwin
  • Mahondaw
  • Ukhuty
  • Kapeace
  • Nitarudi kuendekeza....
  • Gentamycine
  • V putin
  • Limsambwanda
  • Tumosa
  • Y2n
  • Majoto
  • Kioo
  • Mambembe
  • beira boy
  • The list
  • Yeth lotah
  • Padri mcharo
  • Kisandu junior
Beira boy nae ni mdada?
 
Back
Top Bottom