She loves Me
JF-Expert Member
- Dec 30, 2017
- 809
- 939
Wanaume wanasaikolojia kali sana, mbona m hawanitongoz wakat avatar yangu inatia kwikwi.Kwani mpaka ututongoze tuliopo humu jamani???? Mweeeeeeh humu muwe mnasoma na kupita kimyaaaa vinginevyo wewe na bebi wako mliko huko wote mjiunge humu mje kubebishana tumechoka malalamiko kila siku oooh Sijui nimekuta hana mguu mmoja ....Mara tako hana....Sijui ana machunusi tumechokaaaaaaaaaaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnatudhalilisha bn nani kasema wababa wabayaHivi hawakomi tuuu...
Watuache na sura zetu za baba
Sio wabaya! Ila sura zao si unazijua mkuu
Sio wabaya! Ila sura zao si unazijua mkuu
Nawaomba wadada Wa JF muwe mnaweka picha halisi ili iwe rahisi kufanya maamuzi sahihi. Yani nilimtokea mtoto mkali humu kwa kuangalia picha yake ya avatar baada ya kukutana live nilijikaza sana. Sasa msitusumbue sana embu wekeni picha zenu halisi basi tuwatongoze kwa dhati.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo maana nikasema wengine tuko na sura za baba yetuLakin ni urembo sana kwa wanawake.
Imagin dada yako anakuleta mume anafanana beyonce hvi itakuvutia kweli?
Uzuri wa mwanaume sio urembo ni uhalisia wake.
Ila mm ni mbaya
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji6][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndo maana nikasema wengine tuko na sura za baba yetu
Kiinglish kinanipa tabu hebu nitafsirie mkuuMtu akikwambia you are smarter than your face. Utachukulia kama compliment au tusi ?
Mtu akikwambia una akili nyingi kuliko mwonekano wa sura yako, utachukulia kama kakusifia au kakutusi ?
Mtu akikwambia una akili nyingi kuliko mwonekano wa sura yako, utachukulia kama kakusifia au kakutusi ?