Wadada wa jf wekeni pichazenu halisi kwenye avatar zenu

Wadada wa jf wekeni pichazenu halisi kwenye avatar zenu

Kwani mpaka ututongoze tuliopo humu jamani???? Mweeeeeeh humu muwe mnasoma na kupita kimyaaaa vinginevyo wewe na bebi wako mliko huko wote mjiunge humu mje kubebishana tumechoka malalamiko kila siku oooh Sijui nimekuta hana mguu mmoja ....Mara tako hana....Sijui ana machunusi tumechokaaaaaaaaaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaume wanasaikolojia kali sana, mbona m hawanitongoz wakat avatar yangu inatia kwikwi.
Wamejuaje kama mi meeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawaomba wadada Wa JF muwe mnaweka picha halisi ili iwe rahisi kufanya maamuzi sahihi. Yani nilimtokea mtoto mkali humu kwa kuangalia picha yake ya avatar baada ya kukutana live nilijikaza sana. Sasa msitusumbue sana embu wekeni picha zenu halisi basi tuwatongoze kwa dhati.

Sent using Jamii Forums mobile app

Umenichekesha sana aiseee


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huko mtaani kila cku unakutana na walio halisi wamekushinda unakuja kutongoza humu kwenye avatar za uongo, sasa kati yao na ww nani tatizo?
 
Ndo maana nikasema wengine tuko na sura za baba yetu
[emoji23][emoji23][emoji6][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
FB_IMG_1553963963442.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom