Kwa hiyo hij ni yako halisi?Nawaomba wadada Wa JF muwe mnaweka picha halisi ili iwe rahisi kufanya maamuzi sahihi. Yani nilimtokea mtoto mkali humu kwa kuangalia picha yake ya avatar baada ya kukutana live nilijikaza sana. Sasa msitusumbue sana embu wekeni picha zenu halisi basi tuwatongoze kwa dhati.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina bebi ndio mana natafuta JFKwani mpaka ututongoze tuliopo humu jamani???? Mweeeeeeh humu muwe mnasoma na kupita kimyaaaa vinginevyo wewe na bebi wako mliko huko wote mjiunge humu mje kubebishana tumechoka malalamiko kila siku oooh Sijui nimekuta hana mguu mmoja ....Mara tako hana....Sijui ana machunusi tumechokaaaaaaaaaaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawaomba wadada Wa JF muwe mnaweka picha halisi ili iwe rahisi kufanya maamuzi sahihi. Yani nilimtokea mtoto mkali humu kwa kuangalia picha yake ya avatar baada ya kukutana live nilijikaza sana. Sasa msitusumbue sana embu wekeni picha zenu halisi basi tuwatongoze kwa dhati.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi ukawa mzuri hivi!Sio wote wanapenda kuweka uhalisia
Mfano mm hiyo avatar ni yangu japo nimeificha kidogo
Sasa kuna haja gani ya kutumia fake identity mkuu?Nawaomba wadada Wa JF muwe mnaweka picha halisi ili iwe rahisi kufanya maamuzi sahihi. Yani nilimtokea mtoto mkali humu kwa kuangalia picha yake ya avatar baada ya kukutana live nilijikaza sana. Sasa msitusumbue sana embu wekeni picha zenu halisi basi tuwatongoze kwa dhati.
Sent using Jamii Forums mobile app