Wadada wa jf wekeni pichazenu halisi kwenye avatar zenu

Nawaomba wadada Wa JF muwe mnaweka picha halisi ili iwe rahisi kufanya maamuzi sahihi. Yani nilimtokea mtoto mkali humu kwa kuangalia picha yake ya avatar baada ya kukutana live nilijikaza sana. Sasa msitusumbue sana embu wekeni picha zenu halisi basi tuwatongoze kwa dhati.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo hij ni yako halisi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani mpaka ututongoze tuliopo humu jamani???? Mweeeeeeh humu muwe mnasoma na kupita kimyaaaa vinginevyo wewe na bebi wako mliko huko wote mjiunge humu mje kubebishana tumechoka malalamiko kila siku oooh Sijui nimekuta hana mguu mmoja ....Mara tako hana....Sijui ana machunusi tumechokaaaaaaaaaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Sina bebi ndio mana natafuta JF

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawaomba wadada Wa JF muwe mnaweka picha halisi ili iwe rahisi kufanya maamuzi sahihi. Yani nilimtokea mtoto mkali humu kwa kuangalia picha yake ya avatar baada ya kukutana live nilijikaza sana. Sasa msitusumbue sana embu wekeni picha zenu halisi basi tuwatongoze kwa dhati.
Sent using Jamii Forums mobile app

Sio wote wanapenda kuweka uhalisia

Mfano mm hiyo avatar ni yangu japo nimeificha kidogo
 
Kuna mmoja nimekutana nae maeneo ya kingdom mwanza woouuuiiiiiiii!!
 
Nawaomba wadada Wa JF muwe mnaweka picha halisi ili iwe rahisi kufanya maamuzi sahihi. Yani nilimtokea mtoto mkali humu kwa kuangalia picha yake ya avatar baada ya kukutana live nilijikaza sana. Sasa msitusumbue sana embu wekeni picha zenu halisi basi tuwatongoze kwa dhati.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kuna haja gani ya kutumia fake identity mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom