kukumdogo
JF-Expert Member
- Feb 1, 2011
- 2,871
- 2,762
Nawaomba wadada Wa JF muwe mnaweka picha halisi ili iwe rahisi kufanya maamuzi sahihi. Yani nilimtokea mtoto mkali humu kwa kuangalia picha yake ya avatar baada ya kukutana live nilijikaza sana. Sasa msitusumbue sana embu wekeni picha zenu halisi basi tuwatongoze kwa dhati.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app