Kuna mwingine anaitwa Esma diamond,Kule insta,,eti lotion ya kuuza elfu kumi,yeye anaongeza laki mzima,
Ukiangalie wala haina cha maana,carot lotion,alovera lotion,avocado etc
Sasa si bora niponde ponde hizo carot nijipake kuliko kuingia gharama yote hiyo,wakati maduka ya mitaani bei chini
Sidhani kama kuna umuhimu wa kukuweka sawa...kazia huo msemo wako wa andiko la mwishoMkuu niweke sawa Chap kwa haraka ili nibadilishe kauli, Otherwise kale ka swala ka Love it | Live it katabaki unchanged😀
Ndo maana tumewajulia kwenye ujasiriamali
Acha tu nikale nisije nikafa bure. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sema hamjui hela yenu tamu jamani. Hasa ukute ndo mwanaume unampenda mpaka unahisi kudata yani akikupa hela unajiona kama nani sijui kwa marahaJitahidi aisee leo umeongea point sana, wenzako bado wanakaza vichwa ila they'll Thank you later coz ukila hela ya kiDume lazima pia asimamie kucha pale kwenye kale katukio
Sidhani kama kuna umuhimu wa kukuweka sawa...kazia huo msemo wako wa andiko la mwisho
Uliniona mie slay queen?? Sema hata ukiniona live utajua na mie slay queen kumbe walaaa. Wanaonionaga kwa mbali wananionaga huyu dada hagusiki kumbe wala sinaga makuuWacha niwe muwazi pia, awali nlikuona kama hao unawazungumza hapa.
Ni vizuri kujitambua.
Acha tu nikale nisije nikafa bure. Sema hamjui hela yenu tamu jamani. Hasa ukute ndo mwanaume unampenda mpaka unahisi kudata yani akikupa hela unajiona kama nani sijui kwa maraha
Huyo sip tapeli huyo anajiuza live. Mkutane na mtu barabarani mkalalane sio umaraya wa wazi kabisa. Bora hata usiku angesingizia alikua kalewa hakumbuki ila na akili zake timamu huyo aliona una hela ndo maana anakakubali ukamle siku ya kwanza hata hajakujuaEe bwana eee hii kitu kweli kabisa. Juzi Kati nimekutana na binti mrembo maeneo ya kibo tegeta akanichangamkia kweli kweli. Fasta nikamsemesha Mara puu akanipatia namba. Kabla sijaondoka akanambia samahani Kaka nilikuja kwa rafki angu kuchukua hela ya ada sijampata unaweza nisaidia?
Nikamuuliza unasoma kidato Cha Ngapi akajibu kidato cha sita nikashtuka manake muonekano wake na kidato Cha sita ni differ kabisa.
Nikasema huyu ananjaa anatka anipige mchana kweupe Sasa ngoja nimeonesha kuwa Mimi ni born town...then nikamwambia twaweza kwenda home. Akajibu ndiyo.
Kistarahabu kabisa tukadaka bajaji...aiseee kufika home demu kachanganyikiwa manake niliishaplan strategy...nikaanda msosi wa nguvu tukala
Mara wine hiyo....tukashushia kukaa kidogo nikamwambia kajimwagie maji ili unywe wine vizuri. Kasema haya beby. Baada ya kumaliza kuonga kapiga glas Kama mbili ivi hoi akaanza kuita beby plz naomba unikiss...mara paa kitu hicho nilimpa vidonge vya hatari.
Tulipo maliza Mambo fulani mida ya saa kumi na mbili ivi nikamsindikiza. Nikamwambia kesho tukutane then nimtoe pesa ya ada.
Hawa viumbe ni waongo balaa...hii kitu nilifanya kwakuwa huyu alionenaka tapeli wazi wazi. Ila nikawa mjanja nikamtapeli Mimi.....!!
[emoji2] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] vibomu vya wanafunzi vimekushindaHuwezi jua mkuu na mie kama hao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Siwezi mdanganya mwanaume anipe mahela mengi maana ntasahau katikati ya safari halafi inakuaje hapo mtu anaonekana tapeli bure. Japo napenda hela ila vibomu vya kijinga NO.
[emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] vibomu vya wanafunzi vimekushindaHuwezi jua mkuu na mie kama hao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Siwezi mdanganya mwanaume anipe mahela mengi maana ntasahau katikati ya safari halafi inakuaje hapo mtu anaonekana tapeli bure. Japo napenda hela ila vibomu vya kijinga NO.
. Wapo wa kweli na wapo wale wa uongo.
Yani hata akupe elfu 2 moyo unalipuka kwa furaha. Tusiowapenda tunakulaga hela za kwa mawazo kweli hasa tukiwaza muda wa kulipa itakuaje [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata akikupa Jero unaona laki tano au sio hahahaha
Na usie mpenda......????????????