Wadada wa Mjini na Tabia ya Kuongeza 000

Kuna mwingine anaitwa Esma diamond,Kule insta,,eti lotion ya kuuza elfu kumi,yeye anaongeza laki mzima,
Ukiangalie wala haina cha maana,carot lotion,alovera lotion,avocado etc
Sasa si bora niponde ponde hizo carot nijipake kuliko kuingia gharama yote hiyo,wakati maduka ya mitaani bei chini

hahaha
 
Ee bwana eee hii kitu kweli kabisa. Juzi Kati nimekutana na binti mrembo maeneo ya kibo tegeta akanichangamkia kweli kweli. Fasta nikamsemesha Mara puu akanipatia namba. Kabla sijaondoka akanambia samahani Kaka nilikuja kwa rafki angu kuchukua hela ya ada sijampata unaweza nisaidia?
Nikamuuliza unasoma kidato Cha Ngapi akajibu kidato cha sita nikashtuka manake muonekano wake na kidato Cha sita ni differ kabisa.
Nikasema huyu ananjaa anatka anipige mchana kweupe Sasa ngoja nimeonesha kuwa Mimi ni born town...then nikamwambia twaweza kwenda home. Akajibu ndiyo.
Kistarahabu kabisa tukadaka bajaji...aiseee kufika home demu kachanganyikiwa manake niliishaplan strategy...nikaanda msosi wa nguvu tukala
Mara wine hiyo....tukashushia kukaa kidogo nikamwambia kajimwagie maji ili unywe wine vizuri. Kasema haya beby. Baada ya kumaliza kuonga kapiga glas Kama mbili ivi hoi akaanza kuita beby plz naomba unikiss...mara paa kitu hicho nilimpa vidonge vya hatari.
Tulipo maliza Mambo fulani mida ya saa kumi na mbili ivi nikamsindikiza. Nikamwambia kesho tukutane then nimtoe pesa ya ada.
Hawa viumbe ni waongo balaa...hii kitu nilifanya kwakuwa huyu alionenaka tapeli wazi wazi. Ila nikawa mjanja nikamtapeli Mimi.....!!
 
huoni jicho na choo😀😀 linaisha na 0 ndio nyota wanazotembelea
 
Jitahidi aisee leo umeongea point sana, wenzako bado wanakaza vichwa ila they'll Thank you later coz ukila hela ya kiDume lazima pia asimamie kucha pale kwenye kale katukio
Acha tu nikale nisije nikafa bure. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sema hamjui hela yenu tamu jamani. Hasa ukute ndo mwanaume unampenda mpaka unahisi kudata yani akikupa hela unajiona kama nani sijui kwa maraha
 
Mzigua90 huoni kama una waharibia wenzako pamoja na wewe mwenyewe.
 
Acha tu nikale nisije nikafa bure. Sema hamjui hela yenu tamu jamani. Hasa ukute ndo mwanaume unampenda mpaka unahisi kudata yani akikupa hela unajiona kama nani sijui kwa maraha

Hata akikupa Jero unaona laki tano au sio hahahaha
Na usie mpenda......????????????
 
Ee bwana eee hii kitu kweli kabisa. Juzi Kati nimekutana na binti mrembo maeneo ya kibo tegeta akanichangamkia kweli kweli. Fasta nikamsemesha Mara puu akanipatia namba. Kabla sijaondoka akanambia samahani Kaka nilikuja kwa rafki angu kuchukua hela ya ada sijampata unaweza nisaidia?
Nikamuuliza unasoma kidato Cha Ngapi akajibu kidato cha sita nikashtuka manake muonekano wake na kidato Cha sita ni differ kabisa.
Nikasema huyu ananjaa anatka anipige mchana kweupe Sasa ngoja nimeonesha kuwa Mimi ni born town...then nikamwambia twaweza kwenda home. Akajibu ndiyo.
Kistarahabu kabisa tukadaka bajaji...aiseee kufika home demu kachanganyikiwa manake niliishaplan strategy...nikaanda msosi wa nguvu tukala
Mara wine hiyo....tukashushia kukaa kidogo nikamwambia kajimwagie maji ili unywe wine vizuri. Kasema haya beby. Baada ya kumaliza kuonga kapiga glas Kama mbili ivi hoi akaanza kuita beby plz naomba unikiss...mara paa kitu hicho nilimpa vidonge vya hatari.
Tulipo maliza Mambo fulani mida ya saa kumi na mbili ivi nikamsindikiza. Nikamwambia kesho tukutane then nimtoe pesa ya ada.
Hawa viumbe ni waongo balaa...hii kitu nilifanya kwakuwa huyu alionenaka tapeli wazi wazi. Ila nikawa mjanja nikamtapeli Mimi.....!!
Huyo sip tapeli huyo anajiuza live. Mkutane na mtu barabarani mkalalane sio umaraya wa wazi kabisa. Bora hata usiku angesingizia alikua kalewa hakumbuki ila na akili zake timamu huyo aliona una hela ndo maana anakakubali ukamle siku ya kwanza hata hajakujua
 
Ila ukweli ukimkuta mdada mjasiriamali yaani viGezo vingine kama ile Bidhaa Adimu havinaga nguvu sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Wapo wa kweli na wapo wale wa uongo.
 
Huwezi jua mkuu na mie kama hao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Siwezi mdanganya mwanaume anipe mahela mengi maana ntasahau katikati ya safari halafi inakuaje hapo mtu anaonekana tapeli bure. Japo napenda hela ila vibomu vya kijinga NO.
[emoji2] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] vibomu vya wanafunzi vimekushinda
 
Huwezi jua mkuu na mie kama hao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Siwezi mdanganya mwanaume anipe mahela mengi maana ntasahau katikati ya safari halafi inakuaje hapo mtu anaonekana tapeli bure. Japo napenda hela ila vibomu vya kijinga NO.
[emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] vibomu vya wanafunzi vimekushinda
 
Mzigua90 huoni kama una waharibia wenzako pamoja na wewe mwenyewe.
Najua tumejiharibia ila na nyie kaka zangu pia nawashtua. Ninae mtoto wa kiume akikua siku aone slay queen wake anamuibia kwa ujasiriamali usio na ofisi
 
Hata akikupa Jero unaona laki tano au sio hahahaha
Na usie mpenda......????????????
Yani hata akupe elfu 2 moyo unalipuka kwa furaha. Tusiowapenda tunakulaga hela za kwa mawazo kweli hasa tukiwaza muda wa kulipa itakuaje [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom