Nas Jr
JF-Expert Member
- May 15, 2018
- 7,920
- 8,675
Kuna mwingine anaitwa Esma diamond,Kule insta,,eti lotion ya kuuza elfu kumi,yeye anaongeza laki mzima,
Ukiangalie wala haina cha maana,carot lotion,alovera lotion,avocado etc
Sasa si bora niponde ponde hizo carot nijipake kuliko kuingia gharama yote hiyo,wakati maduka ya mitaani bei chini
hahaha