Wadada wa saluni za kiume hawana kinyaa kabisa

[emoji28][emoji28][emoji28]

Mkuu si kila mtu ana vipele kwenye kidevu...

Kama mimi sijawahi kutoka kipele hata cha kusingiiwa. Nanyoaga saloon au mara nyingine nyumbani mwenyewe...
 
Dah,
Watu wa macho ya Rohoni, shida kweli!!
 
Nilimkula mmoja nilienda kunyoa nikiwa na bulungutu la mkopo kutoka bank,wakati namlipa nilitoa bulungutu nikachomoa wekundu wawili nikachukua no kesho yake akanitafuta tukaenda kulana ,na niliishia kuuza nyumba kulipa mkopo bank
Yaani hela ya mkopo ukaanza nayo kwenye kwichikwichi kwanza aiseeee😆😂
 
(Wana)"chapwa" (saa)"24"!
 
Barbershop ni madanguro ya kisasa, yaani wale wanawake siyo wa kugusa hata kidogo kwa mwanaume anayejitambua, siyo kubinya tu vichunusi, bali wanalala na wanaume chungu mzima aisee
 
Daah
Nilikuwa nakula hapa imenibidi nihairishe kwa muda.

Usaha tena kha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…